Nimemiss jf nimerudi kwa kishindo

Uwiiiiii!!!
Bebe rafiki Behaviourist njoo umuone 'shoga' ako karudi

Rayyoungr Mimi na Behaviourist tulikumiss
 
I hope mko poa wakuu
Mimi ni nzima nilimiss jf
Nilikua nje kidogo ya nchii
Si unajua tenaaaa
Hahahahaa nimerud ndugu zangu
Nilikuta tag za kutosha wengine wakiniombea ban bureeeee wakati cjafanya kosa lolote
Nimejirekebisha spendag ujingaaaa mjueee
Nashauriwa nashaurika na kusikiliza wakubwa wang
Maana s kwa utundu ule wa kiwango cha lami
Bt now nimebadilika
Staki mtu anisababishie nipigwe ban buree

Na naapa kutovunja sheria za jf abadan
Nilimiss sana stor na habar za humu ndani
[HASHTAG]#Team[/HASHTAG] [HASHTAG]#ray[/HASHTAG] mpoo?
Hahaaaa boss wenu nimekuja
Tuchape kazi tulijenge taifa
Tushikimane tusonge mbele
Long live jf. tujivunie chetu god bless everybody
Angalia usichafue hali ya hewa ukasababisha watu wafungulie swaumu zao bure
 
Back
Top Bottom