mpebasi-jr
Member
- Aug 2, 2016
- 56
- 32
Sio kwamba yeye ndiye anapeleka ukimwi kwa mchepuko?Hayo ya kurudisha moyo nyuma au mbele kwa mbele ni maamuzi yako Mkuu kutokana na jinsi unavyompenda, lakini kwa wanaume wengi situation kama hii haina mjadala. Unajua fika bi dada alienda kwa njemba na akalala huko halafu anarudi ghetto unashindwa kuamua njia ipi uelekee kwenye mahusiano yenu!? Unataka akuletee UKIMWI!?
The issue tunasoma course moja,nkimpga chini hatakuwa na amani tukiwa class....may b akachukua maamuzi magumu,,,,,,,chezea wahehe wwPiga chini Malaya wa porini huyo,asiutumie msamaha kama sababu ya kufanya kosa amekufanya mpuuzi kiufupi thamani yako wewe kama mwanaume haitambui.ukitoa msamaha utakua umeonesha udhaifu mkubwa sana na usije kulaumu yatakayo kukuta hapo baadae kwa sababu hicho kitendo kinatuma ujumbe na ni ishara hapo yupo kimikakati zaidi hivyo usiseme tunapendana sana soma alama za nyakati haraka sana
#PIGA CHINI
[emoji817]Malod lofa wapo wengi aiss
Anaonyesha ananipenda but cjui ni ulimbukeni na kutokujiheshimuUmejua anaenda wapi na bado akaenda, halafu unamsubiri anarudi na kufanyaje eeeeh. Pole anakujua wewe hauna jipya...jiulize kwa nini hakukuomba msamaha usiku huo na kujituliza nawe, halafu na picha juu...kweli bado unasema mnapendana sanaaaaa...kituko.
Mtu akikupenda na hata akachepuka atafanya juu chini usijue, wewe unaletewa na picha uone kabisaaaaa then moyo unajiuliza ufanyaje????!!!! Eeeeeee mbavu zangu. Unajua unalotaka kwake..labda anakutunza si kihivyo duh
Pole yako, na vibao juu weye nani baba ake? na bado ataendelea kama kawa hata akiwa mkeo.
Dogo acha ujinga bhana, yaani umekuta na picha halafu bado unamuonea huruma, pumbavu zako kabisa, wewe ndio wa kuonewa huruma! Acha ujinga labda kama una benefit kutokana na matendo yake otherwise sitaki kijana wangu uwe bwege namna hio, choose between the two, Kusoma au mapenzi. Ila hapo inavyoonekana ukiendelea hivyo uta-graduate na AIDS not A'sMamboz....nina demu angu ambaye tumekutana chuo na tumependana sana almost kila siku tunalala wote magetoni ila jana kanidanganya anaeenda kwenye party usiku,but before hajaondoka nikafanikiwa kufumania chating za mchepuko wake wakutane sehemu flan,ile kumuulza tumegombana sana mpk nmemzaba makofi na hatimaye akaondoka akiwa kununa,.....Leo asubuhi karudi geto na nmefanikiwa kuona picha kwenye simu yake ambayo amempiga mchepuko wake anavaa viatu asubuhi....
But karudi geto anatia huruma et nimsamehe.....je nirudishe moyo nyuma au mbele kwa mbele.....life goes on
Siyo tu kulala geto....anaonyesha kila isharah ya kuwa ananipenda but may b hiyo ni weakness yakeHivi ujasiri wa kusema "mnapendana sana" unaoutoa wapi wakati anakuchea!!!?......au kulala pamoja kila siku magetoni ndo kupendana sana?
[emoji22]Dogo acha ujinga bhana, yaani umekuta na picha halafu bado unamuonea huruma, pumbavu zako kabisa, wewe ndio wa kuonewa huruma! Acha ujinga labda kama una benefit kutokana na matendo yake otherwise sitaki kijana wangu uwe bwege namna hio, choose between the two, Kusoma au mapenzi. Ila hapo inavyoonekana ukiendelea hivyo uta-graduate na AIDS not A's
hakupendiAnaonyesha ananipenda but cjui ni ulimbukeni na kutokujiheshimu
Anaonyesha ananipenda but cjui ni ulimbukeni na kutokujiheshimu
Hivi hakuna uwezekano wa kuanzisha sehemu ya watoto tu jamani!Mamboz....nina demu angu ambaye tumekutana chuo na tumependana sana almost kila siku tunalala wote magetoni ila jana kanidanganya anaeenda kwenye party usiku,but before hajaondoka nikafanikiwa kufumania chating za mchepuko wake wakutane sehemu flan,ile kumuulza tumegombana sana mpk nmemzaba makofi na hatimaye akaondoka akiwa kununa,.....Leo asubuhi karudi geto na nmefanikiwa kuona picha kwenye simu yake ambayo amempiga mchepuko wake anavaa viatu asubuhi....
But karudi geto anatia huruma et nimsamehe.....je nirudishe moyo nyuma au mbele kwa mbele.....life goes on