Nimemfuma msichana wangu na mwalimu wa chuo

msamaha sio mimi wa kumuomba yeye ndie kishaomba. Hapana hatujamlainisha huyu teacher
 
Kwanza ni 'demu' wako tu wala sio mchumba wala mke. Halafu mmemjeruhi huyo Mwalimu kitu ambacho ni kosa kisheria. Halafu kuna msemo kuwa wanawake wengi wa vyuoni ambao hawajiwezi sana wanakuwa na mabwana karibu wanne: 1. classmate wa kumsaidia shule, 2. bwana wa ku-finance, 3. bwana anayependwa toka moyoni, na 4. mwalimu. Kwa mujibu wa msemo huu yawezekana wewe ulikuwa namba 2 au 3.
 
Katambua kosa kaomba msamaha msamehe kumbuka hakuna binadamu aliekamilika ndugu na naamini hatarudia tena
 
Achaaaa kulialia mkuu fanya mambo ya msingi jiongeze y asikuambiae toka day 1 what if usingeepewa hizo habar mapema tupa kuleee... life is too short kama mini skirt ya wacheza tenisi
 
Nunua dumu la petrol,liweke chini ya kitanda.mwite demu aje gheto mgegede then funga mlango mjilipue mfe wote..hapo mtakuwa mmemkomoa Huyo ticha wake wa chuo coz nyie mtakuwa mekufa so atamkosa demu
teh teh teh aise ushauri wako duuu JF kiboko
 
Mapenzi buana ni kama kupiga puli, yani huwez acha kirahisi. Sasa wewe hii dunia kuna madem wangap mpk unaunguza nauli, kukodi mabaunsa, kisa mbunye? Huo ni ushamba[emoji274][emoji6]
Mapenzi ya siku izi huts kiwi kuinvest sana moyo wako, tafuta papuchi nyingine tena hapa hapa kwenye uzi utapata PM za kutosha, si una gari na nyumba?
 
[emoji13] [emoji13] kweli aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…