Nimemfuma msichana wangu na mwalimu wa chuo

Mmempiga huyo mwalimu kwanini wakati ulishaamua kuwa utamuacha huyo demu wako?
Umepata nini ulivyompiga?
 
Reactions: irk
Endelea nae tu huku ukiendelea kumchunguza. Kama utaona anaendelea vizuri basi itakuwa safi.
 
Kijana inaonekana wewe ni mkorofi sana labda ndo maana hata ya madhila yalipoanza hukushirikishwa mapema. Lakini wewe wamjua mwenzio zaidi kuliko sisi, tofauti na usaliti wa tunda la kati mambo mengine vepeee???, unahisi atakufaa kwa baadaye? Unampenda kweli kweli? Kama vipi msamehe tu maana unaweza kukutana na vimeo zaidi baada yake, niulize mimi aisee.

Siku hizi wanawake wa kuoa wamebaki wachache sana. Na ni ngumu sana kumpata mwenye mazuri mengi mabaya machache.

Watu wananyang'anyana mke barabani, demu anatoroshwa mpaka bukoba unamfuatilia mpaka huko, unamnyang'anya mshkaji unarudi naye dar awe mama watoto sembuse beach tu mkuu.
 
Kweli unayoyasema lakini kuna msemo unasema kufanya kosa si kosa ila kurejea kosa ndio kosa. sijui hivi ni kweli
 
Kweli unayoyasema lakini kuna msemo unasema kufanya kosa si kosa ila kurejea kosa ndio kosa. sijui hivi ni kweli
Na ndio maana nikakwambia hapa kwenye jukwaa wote sisi ni mashawishi tu wa kuwa wepesi kushauri, anaejua ukweli na kipi hasa unachohitaji ni wewe mwenyewe tu. Fuata moyo wako unavyotaka na si kipi utakachoshauriwa. Binadamu tumeumbwa na mapungufu na moyo uliopenda hufanya mapungufu yote kuwa ni utimilifu. Ikiwa unahisi upendo wako kwake ni zaidi ya chuki kwa kitendo alichofanya basi hapo ndio pakupata maamuzi.
 
Duh mkuu kama unanijua vile ukorofi kweli ninao na huyu demu ananiogopa kweli kwa huo ukorofi. Hio jana mjomba wangu alininyanganya bastola ya dingi niliichukuwa sijui ingelikuwaje
 
Kuchapiwa siri ya ndani mkuu.
Lakini msamehe mpe another chance sababu bado inaonekana unampenda, ila ingekua mimi hata hizo text zisingeingia kwa simu yangu mana angekula block ya maana kama UKUTA
 
Assignment beach mkuu?
Ndiyo,assignment hata beach inafanyika mambo ya environmental study..kwenye mahusiano kuna mitihani mingi mana kila mtu ana tabia zake hivyo uvumilivu unatakiwa ukishindwa tafuta mwingine
 
Asante kwa simuliz nzur
 

WEKA PICHA MKUU.
 
Muache mwenzako atengeneze GPA yake Kwa nafasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ushamtakia maisha mema sass tukikushauri ukamrudie utaenda kumuomba msamaha au?!
alafu ww jamaa huyo demu umpendi wala nini ulitaka amkatae mwalimu alafu amfelishe kwenye pepa au?

alafu ujamalizia kwa hiyo mlipata vilainishi kule beach au iliishaje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…