Nimemfuma mke wangu akiwa na hotport la chakula akimpelekea hawara yake,,!! Daaah..

Hii ilishatokea kijijini kwetu kuna mwanamke alikuwa kapika wali kwa ajili ya kumpeleke hawara yake kunako maeneo ( vichakani) sasa ikatokea mwanaume akastukia ishu alichokifanya akaupakua wali wote kwenye hotpot akawa amekunya humo kwenye hotpot afu akaurudishia huo wali kisha akakaa kimya na time zikafika mamaa akachukua hotpot lake akaenda kwenye mingo zake.....kilichotokea huko ni balaa tupu
Nahisi tunatoka mtaa mmoja
 
Sasa we umekatisha safari yake badala ya kumfuatilia kwa karibu mpaka umfume live.
 
Kumbe ni tabia yake kupika chakula kingi kingine humpelekea hawara ake.Nilidodoshwa na marafiki zangu kwamba shemeji mda Wa mchana humpelekea msela chakula,msela huyo anammega shemeji,!nilipuuza sikuamini kutokana na jinsi nilivyo mzoea.Baada ya kuhisi badhii ya vitu vya ndani vinaisha gafla na ukilinganisha tunaishi wawili tu nikawa napata walakini,mfano mboga,huwa nanua nyama kg 10 inakaa kwenye frigi kipindi cha nyuma ilikuwa inatumika hata wiki mbili,nikaja nikagundua kwamba inatumika ndani ya wiki moja.Nilipogundua vitu kama hivyo ndipo nilipomvizia nakumfumania akiwa njiani na port la chakula,nilipomuhoji alinijibu kuna Dada kajifungua nilikuwa nampelekea chakula nilipomuomba twende kwa huyo Dada aliniambia leo hayupo lakini ameenda hospitali nilikuwa naenda kuweka tu na kurudi",nikamwambia basi rudi na hiko chakula baadae tutampekea.Naombeni ushauri hapa nawaza sijui nimfanyaje.
Kazi unayo.
 
Yaani kweli wewe zumbukuku., vyote ulivyoeleza bado unatafuta ushauri nini ufanye? ni afadhali ungempa nyekundu kwanza alafu ukaja hapa tukakuunga mkono lakin ndio kwanza unabembeleza, mkuu yaonyesha umewekwa kiganjani tokea mapema rafik walikwambia na ww umethibitisha sasa subiri siku1 uwakute juu ya kitanda chako alafu uambiwe wewe kwanza subiri nje uko alaf njemba mupishane mlangoni
 
Back
Top Bottom