Nyie kweli chiboko.Umenikumbusha mbali Sana, nasi miaka hiyo ya kuahangaika na vibarua vya kujenga , tulifanya kazi ya kujenga nyumba ya Mzee mmoja tukamaliza ikabakia kupaua hivyo tukaanza kumdai pesa yetu ambayo ilikuwa ni laki nane na ushehe hivi tulizungushana naye miezi tisa hataki kutupatia Pesa yetu siku tukaambizana wote tuliiokuwa tunajenga pale tukaenda na manyundo na masululu ilikuwa ni kazi Moja tu kuharibu kile tulichokifanya yaani tulibomoa nyumba nzima.
Mzee akapewa taarifa na majirani kuwa wale mafundi wako wamebomoa huku kimebakia kiti, kweli kesho yake Mzee anaenda anakuta vumbi tu na matofali yake tukaja kusikia yupo Hosptali.
Kafanye hivyo mkuu.
Kuna watu hapa duniani ukimfikiria adhabu ya kumpa huioni imagine umemfanyia kazi mtu two months unatumia muda wako, pesa zako katika operations za kazi yake ukijua ukilipwa utajipoza na kurudisha gharama za muda na pesa yako, mwisho mtu anakujibu hana pesa za kukulipa siku akipata atakulipa hajui ni lini. Binafsi nikimfikiria nakosa kipi nimfanyie maana sometime najiwa na mawazo ya kumfanyia unyama huyu jamaa ila malaika wananikataza na ninaishia kusali ushauri inaumiza sana.
Binadamu kiumbe wa ajabu sana, na ni mara ya pili kuna mwingine kama miaka miwili iliyopita nilimfanyia kazi ajanilipa mpaka leo hadi kasahau.
What should I do to this man, that he can do payments?
Umenikumbusha mbali Sana, nasi miaka hiyo ya kuahangaika na vibarua vya kujenga , tulifanya kazi ya kujenga nyumba ya Mzee mmoja tukamaliza ikabakia kupaua hivyo tukaanza kumdai pesa yetu ambayo ilikuwa ni laki nane na ushehe hivi tulizungushana naye miezi tisa hataki kutupatia Pesa yetu siku tukaambizana wote tuliiokuwa tunajenga pale tukaenda na manyundo na masululu ilikuwa ni kazi Moja tu kuharibu kile tulichokifanya yaani tulibomoa nyumba nzima.
Mzee akapewa taarifa na majirani kuwa wale mafundi wako wamebomoa huku kimebakia kiti, kweli kesho yake Mzee anaenda anakuta vumbi tu na matofali yake tukaja kusikia yupo Hosptali.
Kafanye hivyo mkuu.