Nimemchoka huyu mwanamke nataka ni mbwage kistaarabu kuepuka karma ila haelewi kabisa

Itabidi nifanye hivi alafu nimuone anakuaje
 
Mapenzi huyawezi achana nayo kenge wew
 
Hawa wanawake ndivyo walivyo mkuu, acha kuweka vinyongo wewe kaa na mama hiyo au kama huwezi nipe namba zake nimwambie humtaki.
 
Wakati unamfukuzia huyo demu alikuwa na bwana ake aliyempenda sanaaa cos alimuahidi kumuoa na vitu kibao,ila jamaa akaja kumwaga akapita zake hivi,ndo akakumbuka kuna kajitu kalikuwa kanamtongoza ngoja ajilengeshe ili awe tu kwenye mahusiano.

Anachofanya hapo sahizi ni kujaribu kukuweka karibu,ili usimpige kibuti kama jamaa yake,ila moyoni bado anampenda huyo jamaa yake na lazima kuna muda huwa anapost post status ili mwamba aone(wewe ana ku mute).

Jamaa akishaona demu aliyemmwaga ana furaha,ataamua kurudisha majeshi ili awe anajipigia kama zamani,japo hatakuwa tayari kuwa naye kama zamani.

Hapo demu ataanza dharau kwako,sasa kabla haya yote hayaja jiri,fanya ku act mapema kabla demu haja act.

PIGA CHINI HIYO KUKU YA BULUU MAPEMA SANA.
 
Omba ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…