Nimemaliza utata kuhusu boeing


Outdated info
 
hivi suala la usafiri wa anga/ndege ni la muungano? (Nje ya mada)
Mwenye jibu tafadhali !
 
Mkuu imeleta ufafanuzi na kuondoa utata... Ngoja zitto frnd waje na wale Wa ufipa...
 
Manunuzi yamekiukwa wamenunua watu 2 tu......mtu na mpwa wake! Katiba inatufikisha hapa unaweka mpwa nafasi nyeti ya kutoa pesa hazina na wewe ndio Rais.......wananunua kila kitu wao hawafuati
Utaratibu wowote!!! Ni aibuu na kashffa kubwa sanaa kwa nchiiiiii
 
Swala la waficha pesa uswiss chini ya kiapo alishindwa kusema kweli akabaki anakapua macho tu. Bado kuna watu wanamuamini.
....Acha kutanua goli, hii procurement tumepigwa hatujapigwa ?
 
....Acha kutanua goli, hii procurement tumepigwa hatujapigwa ?
Wewe endelea na hizi hoja rahisi rahisi ndio saizi yako kulingana na uwezo wa akili yako kuchambua taarifa. Wenye akili yenye uwezo mkubwa wa kuchakata habari tumeona dosari nyingi sana kwenye hiki kinachoendelea.
Kwa kuwa hii ni sehemu ya vitu viinavyokuburudisha,endelea kuburudika na hizi porojo za zito kabwe.
 
Swala la waficha pesa uswiss chini ya kiapo alishindwa kusema kweli akabaki anakapua macho tu. Bado kuna watu wanamuamini.
Labda na yeye ni kama huyu jamaa mtaalamu wa ndege hataki ku disclose source zake mkuu
 
Kama ni kweli kuna utata basi tuwe na subira kwani utata huo utatatuliwa baada ya ndege hiyo kutua nchini
 

....Hahaaaaaa eti...''Wenye akili yenye uwezo mkubwa wa kuchakata habari tumeona dosari nyingi''.....Lumumba mna manenooo!!!, haya bwanaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…