Nimemaliza kozi ya nursing...

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
polen na majkm wakuu..!! mim ni muhtm wa kozi ya nursing(full coz) miaka 2 kwa level ya certifcat,kwa yeyt mweny hosptal au kam unaijua hosptal inayohtaj mtu km mimi,tuwasliane 0772781314,..ahsnten..!!
 
Hongera kwa kuhitimu masomo.

Ushauri wangu, kwa vile kazi ya kutafuta kazi ni kazi pevu zaidi ya kazi yenyewe, ninakushauri wakati ukitafuta kazi ya kuajiriwa, tafuta vilevile kazi ya kujitolea. Hii ina faida nyingi ikiwemo kukupa fursa ya wewe kupata uzoefu, kuanza kufanyia kazi ulichofunza na pengine kupata nafasi ya wewe "kujiuza" (exposure and networking). Chukulia kipindi hicho kama sehemu ya Shule yako!

Mwisho, ukipata ajira, hata kama inakulipa mamilioni, chonde chonde, usiache kujiendeleza kitaaluma! Kuna Ma-Nesi wamejimbia kwenye Miradi ya Ukimwi, Chanjo, Malaria, Tohara kwa Wanaume, Damu Salama, n.k. wanapata good time ile mbaya kwa sababu ya Taaluma zao.

Otherwise, all the best!
 
polen na majkm wakuu..!! mim ni muhtm wa kozi ya nursing(full coz) miaka 2 kwa level ya certifcat,kwa yeyt mweny hosptal au kam unaijua hosptal inayohtaj mtu km mimi,tuwasliane 0772781314,..ahsnten..!!

Kwani siku hizi mnaomaliza cert 2yrs hampangiwi hospital mkishagraduate? coz nina mdogo angu anamaliza mwezi wa 3 mwakani...kwahiyo tuanze kujipanga kumtafutia placement? manake nasikia idara za afya zinahitaji watu bado!!

Bt kwa ushauri tu nenda kwenye vituo vya afya utapata internship au kama umejipanga basi fanya diploma same field itakutoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…