Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Leo nimelipia ili kupatiwa huduma ya umeme pale TANESCO Kigamboni wamenambia ndani ya siku 60 huduma itakuwa imekamilika!
Hebu wadau wenye xperience na hili suala, je? Hivi ni kweli watakamilisha ndani ya muda huo au ndo mpaka nianze tena kusumbuana nao kuwafuata ili watekeleze jukumu lao?