Nimelipa kisasi kudadadeki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimelipa kisasi kudadadeki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chinga boy, Sep 26, 2012.

 1. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naam wadau,j2 iliopita muda wa saa wakati natoka hme kuingia katikati ya jiji la Tanga,Barabarani nikakutana na mdada mrembo haswa,nikasimama bila kusimamishwa na kumpa lift cos alikuwa anaelekda mjini ,ktk kufaamiana akaniambia ni mke wa polisi amekuja likizo hme kutokea mkoa fulani na kidoleni kuna utambulisho kuwa ni maried .Chinga sikushangaa nikamwonyesha kuwa n ni mtoto wa Tandahimba, nikatupia vocal akingiza chorus na j3 nimemla kwa hasira ili kulipa kisasi kwa mabomu wanayotupiga waume zao ktk M4C. People....s
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Umejiuliza mko wangapi? Na UKIMWI je? kumbuka ukipanda zinaa utavuna humo humo uharibifu. Haya ni mambo ya kizamani sana na ni story za teens hizi!!!!
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,841
  Trophy Points: 280
  ujinga huu ptuuuu! na kama eti ni ushabiki wa cdm basi jua utakupa mtoto HIV +.
   
 4. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Lunatic!
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  mkuu unge mmalizia na TAFAKARI!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tulizana Chinga!! Tulizana Kaka! Kura yako kwa cdm ni muhimu sana!
   
 7. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  sawa bana..vp ulitumia dawa ya penzi..isije kuwa umejilipua mwenyew...
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  sijaona ujinga kama huu ww unaweza ukawa mjinga wa mwaka kwa hapa jf kwani umetenda dhambi
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  Hahahahhahahahaa
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Eti mke wa Polisi !. huyo alikuwa changu, na kama ulikwenda dry, anza kujisikilizia
   
 11. N

  Neylu JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Oooh.... Huoni aibu katika dunia hii kujisifu kwamba WEWE NI MZINZI..!
   
 12. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  are yu unsound?Kapime uone kama kweli ni kisasi isije ikawa hasara juu ya hasara.
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  Haya bana....
   
 14. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Pete imekuonyesha ni mke wa Polisi?
  Kweli mtu wa Tandahimba mpe pesa atafikisha lkn mwanamke atambamiza ili kumkomoa haikomolowi hapo ndipo tulipot***
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kama huu nao ni unachama ukereketwa wa chadema basi mi kadi yangu no 01 CCM,KHA!
   
 16. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Loh nawahurumia TACAIDS na matangazo yao yote ya 'tuko wangapi' na 'tulizana' watu wa aina yenu hamujali?

  Mungu akusaidie kwa kufurahia zina.
   
 17. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hehehehe kweli tandahimba mwisho lol mimi nimejua umemlipya askari bomu lol ningekupa 1m sasa hivi
   
 18. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  I like this message.
  Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
   
 19. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tafadhali usihusishe M4C yetu na ushenzi wako.............hatukutambui na usitumie slogan ya peopleeess  Peopleeeeeessssssssssssss...........................
   
 20. jason

  jason JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 295
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  jamaa ana bahati next time utapakia jini afu litakwambia mke wa polisi
   
Loading...