Nimelipa kisasi kudadadeki

Nimelipa kisasi kudadadeki

Chinga boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
412
Reaction score
103
Naam wadau,j2 iliopita muda wa saa wakati natoka hme kuingia katikati ya jiji la Tanga,Barabarani nikakutana na mdada mrembo haswa,nikasimama bila kusimamishwa na kumpa lift cos alikuwa anaelekda mjini ,ktk kufaamiana akaniambia ni mke wa polisi amekuja likizo hme kutokea mkoa fulani na kidoleni kuna utambulisho kuwa ni maried .Chinga sikushangaa nikamwonyesha kuwa n ni mtoto wa Tandahimba, nikatupia vocal akingiza chorus na j3 nimemla kwa hasira ili kulipa kisasi kwa mabomu wanayotupiga waume zao ktk M4C. People....s
 
ujinga huu ptuuuu! na kama eti ni ushabiki wa cdm basi jua utakupa mtoto HIV +.
 
Tulizana Chinga!! Tulizana Kaka! Kura yako kwa cdm ni muhimu sana!
 
sijaona ujinga kama huu ww unaweza ukawa mjinga wa mwaka kwa hapa jf kwani umetenda dhambi
 
Naam wadau,j2 iliopita muda wa saa wakati natoka hme kuingia katikati ya jiji la Tanga,Barabarani nikakutana na mdada mrembo haswa,nikasimama bila kusimamishwa na kumpa lift cos alikuwa anaelekda mjini ,ktk kufaamiana akaniambia ni mke wa polisi amekuja likizo hme kutokea mkoa fulani na kidoleni kuna utambulisho kuwa ni maried .Chinga sikushangaa nikamwonyesha kuwa n ni mtoto wa Tandahimba, nikatupia vocal akingiza chorus na j3 nimemla kwa hasira ili kulipa kisasi kwa mabomu wanayotupiga waume zao ktk M4C. People....s
Eti mke wa Polisi !. huyo alikuwa changu, na kama ulikwenda dry, anza kujisikilizia
 
Oooh.... Huoni aibu katika dunia hii kujisifu kwamba WEWE NI MZINZI..!
 
are yu unsound?Kapime uone kama kweli ni kisasi isije ikawa hasara juu ya hasara.
 
Pete imekuonyesha ni mke wa Polisi?
Kweli mtu wa Tandahimba mpe pesa atafikisha lkn mwanamke atambamiza ili kumkomoa haikomolowi hapo ndipo tulipot***
 
kama huu nao ni unachama ukereketwa wa chadema basi mi kadi yangu no 01 CCM,KHA!
 
Loh nawahurumia TACAIDS na matangazo yao yote ya 'tuko wangapi' na 'tulizana' watu wa aina yenu hamujali?

Mungu akusaidie kwa kufurahia zina.
 
Hehehehe kweli tandahimba mwisho lol mimi nimejua umemlipya askari bomu lol ningekupa 1m sasa hivi
 
Tafadhali usihusishe M4C yetu na ushenzi wako.............hatukutambui na usitumie slogan ya peopleeess

Peopleeeeeessssssssssssss...........................
 
jamaa ana bahati next time utapakia jini afu litakwambia mke wa polisi
 
Back
Top Bottom