Nimelipa kisasi kudadadeki (part 2)

Chinga boy

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
412
101
Asanteni GTs Kwa maonyo yenu,nilichogundua kuwa wengi wenu munatoa michango kwa kuangalia fulani amecoment nn,last wk niliomba nielimishwe maana ya WIFE MATERIAL.nikaambiwa anatengenezwa kwa zege,material ya kitambaa,masufuria na vyombo na majibu ya ovyo hadi nikatukana na uzi ukafutwa nikaleta huu uzi naona kila mtu anafuata nani kakoment nn na hakika kama wote mngekuwa safi kama hivyo Ukimwi ungekuwa ni simulizi
 
nimefuatilia nyuzi zako zote mbili.ya kwanza sijakoment!!ila sasa nashawishika kukoment..unaweza ukawa na maana nzuri inayoeleweka n akupewa suport ila the way unavyoandika au kupresent jambo huwa inatoa picha halisi ya jinsi ulivyo..tunaita perception!!

kwamba ulikutana na bint mke wapolisi ukamla kesho yake is fine...mbona wao waliua mtu wa CDM?c bora wangempa hata huo UKIMWI japo aishi miaka kadhaa!!
maana yangu hapa panga vizur mistar yako unapowaza kupost
 
Kuna kitu unachotakiwa kuelewa Chinga boyni kuwa hapa kwenye forum ni sehemu ya kuelekezana njia sahihi na salama za kuishi na wapendwa wetu au namna bora ya kuishi kwenye jamii. Watu kukushambulia haina maana hawafanyi..inawezekana wanafanya na wana 'conscience gulty'..na hii haimundolei mtu uwezo wa kumuelekeza mtu mwingine jambo jema. Hata kama ulikuwa kilaza shuleni bado unao uhalali wa kumshauri mwanao ili ajibidishe kimasomo...haijalishi sana na ukilaza wako!

Wakti mwingine jitahidi ulete uzi unaolenga kusahihisha au kukosoa matendo mabaya na sio kuhimiza ngono..lol[MENTION][/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
sasa ulitaka usifiwe kwa kulipa kisasi kwa mke wa police ambae hahusiki na chochote kwenye hiyo issue yako?
 
jibu hili swali
2*2=?
kile unachokileta ndicho utakachojibiwa ok!
 
Kuna kitu unachotakiwa kuelewa Chinga boyni kuwa hapa kwenye forum ni sehemu ya kuelekezana njia sahihi na salama za kuishi na wapendwa wetu au namna bora ya kuishi kwenye jamii. Watu kukushambulia haina maana hawafanyi..inawezekana wanafanya na wana 'conscience gulty'..na hii haimundolei mtu uwezo wa kumuelekeza mtu mwingine jambo jema. Hata kama ulikuwa kilaza shuleni bado unao uhalali wa kumshauri mwanao ili ajibidishe kimasomo...haijalishi sana na ukilaza wako!

Wakti mwingine jitahidi ulete uzi unaolenga kusahihisha au kukosoa matendo mabaya na sio kuhimiza ngono..lol
proud being ur pacha!safi!
 
dawa ya penzi muhimu kaka...usije dhani unamkomoa polisinyinyiem kumbe unajimaliza mwenyewe...free advice u dont have to pay for it...
 
Hapa naona unazungumzia tabia ya watu kuwa kama bendera kufuata upepo. Hii tabia haipo hapa tu kwenye michango mbalimbali bali ipo mpaka mashuleni, makazini na pahali pengine pengi. Watu wengi hawapendi kuwa na fikra huru bali hufuata mkumbo katika mambo madogo madogo(kuchangia thread) na mara nyingine katika mambo makubwa yenye athari kubwa kimaisha/kijamii
 
Nimeipenda thread yako...i should say 'good point of view' bcoz u have to be critical smtimz! ulichokisema kipo vizuri tu,
 
Back
Top Bottom