Ckia mi natumia 9780 bold,nikishanunua bundle tu,huwa nafungua kwanza orgnl browser,natest web yeyote, inaload then haileti ans yeyote then naizima halaf nawasha hapo utaona kwa upande wa kulia juu kabisa kwny network status kuna kialama cha nembo ya bb,hapo tayari internet inakuwa activated.