Nimekwama wapi

Nimekwama wapi

xng hua

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
3,301
Reaction score
5,379
jana nilikua nakula bata mitaa flani ivii
by the way sikai na wife nko huku kwa muda tuu
sasa jana jioni nkatoka na marafiki zangu nkachelewa kurudi "hapo ni kama sa5 ivi usiku simu zikawa nyingi khee si nikaizima kwe sa 9naa ndo narudi om wife kafunga mlango hataki kufungua nkamuombaaa ananambia nirudi nlikotoka nkaona no sweti NKAMWAMBIA NILIRUDIA CONDOM sabab kakataa kunifungulia basi anipee dirishani 😂😂😂
alifungua mlango fasta kashika mkanda wangu hao mpaka ndani kafunga mlango akanambia HUTOKI HAPA mlango kafunga na funguo kaendanazo room ye mbele mie nyuma kawai room akanitupia shuka nkalala sebleni

sasa leo kanichunia siku nzima yani kanuna ataree

habari za ndom nlmwambia kama gia ya kuingia ndani lakini haelewi

siitaji ushauri nilkua nawapa ujanja tuu
 
Kuna siku ataurudishia kwa style tofauti, uje utuhadithie
 
Back
Top Bottom