Nimekuwa na wivu mpaka najiogopa

Nimekuwa na wivu mpaka najiogopa

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
388
Reaction score
602
Wakuu habari...
Binafsi nimekuwa mtu wa wivu mpaka najiogopa kuanzia suala la mapenzi, elimu, familia, maisha kwa ujumla.

Aisee naombeni msaada kwa hili maana sio kwa wivu huu...
 
Ukiwaza tu unatuma post,.. Anyway kua na wivu ni hali ya kibinadamu sasa jinsi unavoutumia uo wivu ndo unaleta matokea chanya au hasi,...na penye wivu kuna opportnity kubwa ya mafanikio,
 
Ukiwaza tu unatuma post,.. Anyway kua na wivu ni hali ya kibinadamu sasa jinsi unavoutumia uo wivu ndo unaleta matokea chanya au hasi,...na penye wivu kuna opportnity kubwa ya mafanikio,
TATIZO NIMEZIDI MKUU MPAKA NAONA HALI SIO YA KAWAIDA......usiogope KUWAZA LAZIMA NIPOST NI FORMULA YANGU
 
Back
Top Bottom