Nimekuwa addicted sana na Romance [emoji36]

Md
Mdogo wangu shule umemaliza? Iweje mkutane kila Siku? Huna hata kazi?

Mnafanya popote hata kwenye daladala?
Ndio maana nvua hazinyeshi.

Rip ruge.

Usiku ulikwepo ili iweje?? Acha kuzingua na ww


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Brothers and sisters habar zenu, Bila kupoteza muda wacha nende direct kwa topic. Toka nianze mahusiano na gal mpya tuna 7months now kila tukikutana ni mwendo wa romance daily na almost tunakutana kila siku

Na ni deep romance sometimes naweza sex nae kma romance zikikoleaa, I hate this of course ndomana nmekuja kwenu mnipe msaada na ushauri ili niweze kujizuiaa na hili coz nmekuwa addicted sana huwa sijali tupo sehem gani.
Nimetembea na madem tofauti but hyu hta sijui why inakua hivii sometimes hta yeye gal huwa anafeel kbsa but ananishauri isiwe daily lakin ndo sisikii wala sielew.
Nataka niweze kujicontrol coz sijawai kuwa hivi nmeona nakokwenda siko kabisa ndugu zangu.Nifanyaje nirud kwenye normal con
kila dem anamahamasa yake mkuu mwingine ni mtamu sana mdomoni yaani utadhani ana maji ya chemchem wa moto ndo ile passionate kiss ni hataree
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom