Jana hamadi uso kwa uso na
kiplagati26, nilikuwa navinjari maeneo ya westlands nairobi,kuna sehemu ya nyama choma inaitwa kwa njuguna,nipo kaunta nalamba ulabu ndo njemba moja ikaniuliza 'hivi we ni mtz,nikamjibu yap,basi akanambia ukirudi bongo salimia ile ndito inaitwa
Madame B ambia yeye mimi i am back with my family,tell her she can move on ila mimba yake asitoe.
Ndugu zangu atakayenionea
Madame B anifikishie hizi salam maalum.
Mungu ibariki Kenya
Mungu wabariki wakalenjin.
Wote itikieni Ameen.
Copy: kungwi
gfsonwin
Copy: matron
Mamndenyi