Nimekutana na Hii Hapa Mbagala

Yaani hao wanaomkumbuka bora waoneshe kwa vitu vingine ila kuonesha kumkumbuka sababu ya ndege ni janga sana, ndege hizi zinazotia hasara Taifa kila siku? Labda kama alimaanisha kumkumbuka sababu ya utopolo aliofanya kulazimisha kununua ndege
 
Magu anapingwa Happ jf tu mtaan anakubalika sana
Kumbe watu wa JF wanaishi angani eeh???

Kama hujui hapa watu wanaweza kufunguka ya moyoni coz ID ni feki, unadhani mtu anaweza mkosoa JPM au Mbowe kwenye public wakati hujui unayeongea naye ni mrengo gani?

Mzee wangu ni CHADEMA kindakindaki ila akiwa na wazee wenzake utamkuta anaisifia TANU na CCM!!

Hii ndio Tanzania, silent majority ndio Ina kura turufu.
 
Unajipa matumaini tu ila ukweli ni huo alioandika huyo jamaa, mtaani ndipo kuna uhalisia, humu ni kelele tu sawa na zile za mange kipindi kile mnaambiwa tokeni mkaandamane!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…