Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,126
wapi Mzee wa Punch?
Nani kamuua?
Where is his generation?
Yule ndo alikuwa great thinker wa ukweli ukweli, wengine wote wazugaji tu.
Sometimes tunailaumu serikali kwa kuwanyima mikopo wanafunzi, huenda sababu zenyewe ikawa ni hizi 'Attention'. Huyu huenda kapewa mkopo ambao hakustahili, angekuwa hajapewa angeweka ujumbe wa kudai mkopo, si malavidavi. Ni mtazamo tu
Huyo mwanafunzi kapata mkopo kweli? Kama amepata ufanyike utaratibu wa kumnyang'anya hela inayotokana na kodi zetu kwani kuna kila dalili atakuja kuwa USELESS kwa taifa hapo baadaye. Wenzie wanataka katiba mpya, kuwawekea dhamana wenzao walio sero, yeye anashugulikia malavidavi. Ashukuru kitufe cha kubonyeza DISCO kimeibiwa na Kawambwa.
Kweli,user name yako imeniacha hoi.Huyo mwanafunzi kapata mkopo kweli? Kama amepata ufanyike utaratibu wa kumnyang'anya hela inayotokana na kodi zetu kwani kuna kila dalili atakuja kuwa USELESS kwa taifa hapo baadaye. Wenzie wanataka katiba mpya, kuwawekea dhamana wenzao walio sero, yeye anashugulikia malavidavi. Ashukuru kitufe cha kubonyeza DISCO kimeibiwa na Kawambwa.
Gaijin bana...........naona unatafuta league!!Sijaona tatizo hapo
Wanamshangaa kwasababu jamaa kaamua kutafuta mchumba manually....kwani tatizo lipo wapi!? Jamaa kaamua kueleza feeling zake public ambapo sioni ka ni tatizo, sidhani ka ana utofauti sana na wale wanaotafuta wachumba kupitia MAGAZETI, REDIO, FACEBOOK na hata Humu JF kuna Jamaa kaandika THREAD ya kutafuta DEMU....