Nimekusaliti mke wangu

Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa wengi. Mwenzio nilikutana na ex wa 20 yrs. hutaamini nilikumbukia nipo bao la 4. Sijawahi kumsaliti mke wangu kwa more than 23yrs
 
Kwa mwandiko huu czan ata kama una demu
 
Acha uoga, mbona mkeo akikusaliti anakuface tu bila hata castle lite
 
Wewe endelea tu na usaliti kwa mkeo ila mimi sitamsaliti mke wangu Me too
 
Acha uoga wewe, mechi moja tu umecheza unahisi kama umeshuka daraja vile...

Si ajabu mkeo kashapiga gemu za kutosha kiasi kwamba anaongoza msimamo wa ligi...

Mke wangu naomba unisamehe...leo ctaki kuhamin nemesaliti mke wangu kwa miaka mtano ndani ya ndoa sijawi kutoka nje leo nimekutana na ex wangu na tumefanya
 
Drama za humu, ukute mtoa mada hata mke hana, mmmnh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah nimecheka hata sijui why, comment yako just made my day[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my mi-A500s using JamiiForums mobile app
 
Uzinzi haujawahi kumwacha mtu salama
 
Huyu jamaa amenikumbusha zamani sana. Niliwahi kupasua chupa ya chai wakati nilipokuwa mdogo sasa kwa kuogopa kipondo kutoka kwa maza nilianza kulia na kujinyamazisha Mimi mwenyewe kwa sauti tena naanza kulia na kujinyamazisha tena. Ni aina Fulani ya upumbavu wa daraja la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…