St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Kwani we hujammis mnato? Au unaishi naye?
Ukimuona mnato mwambie anatafutwa na mtakatifu..Kuwahi siti ya mbele ni vizuri pia
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Miaka iyo ya 94 nilikuwa najiandaa ingia vidudu kumbe mkuu we ulikuwa bize na mnato!!! Aise
Everything in Nigeria is Big!Mara ya mwisho nilikutana nawe mwaka 1994. Toka kipindi hicho mnato nimekutafuta katika mabara yote ya dunia hii, sikubahatika kakutana nawe. Mnato ulikua umebebwa na binti aitwae Victoria. Ulikuwa mnato kweli, mwanzo hadi mwisho. Lakini tokea wakati huo sijakutana nawe tenaa. Kila ninapodhani ntakutana nawe naishia kujikuta nimekua mvuvi. Mnato Umeenda wapi mnato wanguuu. Cha kushangaza nimekutafuta mpaka kwa watoto wa shule, lakini haukuwepo mnato wangu. Siku moja nikiwa safarini pale Unyankindi Singida nilikubahatisha bila kutegemea. Japo ulikuwa ni usiku mmoja nilikufurahia mnato. Lakini toka mwaka ule wa 2012 sijabahatika tena kukutana nawe. Naomba nisaidiwe kumpata tena mnato. Ikishindikana basi hata nielezwe kilichomsibu mnato mpaka amepotea namna hii. Au ni mimi tu ndio sikutani naye,na wenzangu mnakutana naye...
Hahahaaaaaaa yaani umenifanya nami nicheke. Kwani hayupo huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana wallah
Mnato unaitwa huku
hamko pamoja naye mrembo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana wallah
Mnato unaitwa huku
Na so. Ade witness pikin wit big tings ooh...Everything in Nigeria is Big!
Obina
Naona tupo wote mkuu. Hivi mnato amepotelea wapi siku hizi?
Hahaaa natangaza dau umfungulie..
Naona tupo wote mkuu. Hivi mnato amepotelea wapi siku hizi?
Kwa upole na huruma , usimshirikishe Allah (M/Mungu ) ktk lafudhi chafu !! shukrani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana wallah
Mnato unaitwa huku
Utakazo wewe nipo radhi..