Nimekumbwa na mikosi mfululizo

Mimi huwa naitumia hi quote
View attachment 1265730
Lakini hii quote wakati mwingine inawacost watu. Unaweza kuwa strong strong strong wale wanaoweza kukusaidia wakajua upo strong wakakuacha halafu strength inaisha wakati umeshabaki peke yako, umezidiwa na huna msaada. Hapa ndipo watu wanajiuaga halafu ndugu na jamaa wnabaki wanajiuliza why alipatwa nini mbona mbona
 
Katika maisha, angalia maisha kama safari ambayo huwezi kuepuka kuanguka.

Jiwekee malengo ya kuweza kuamka na kuendelea na safari kila unapoanguka.

Huku ukijifunza kutoanguka tena kwa namna ambayo ulishaanguka awali.

Kwa hivyo, hapo angalia udhaifu na mazingira yaliyopelekea haya kutokea, na ujikinge vizuri zaidi ya hapo nyuma.

Hizo Playstation utatafuta utapata nyingine tu.

Ila kama sehemu unapokaa kuna wizi, nyumba unayokaa haina ulinzi na miundombinu ya kujikinga na wezi, hapo una tatizo kubwa zaidi.

Kwa sababu hao waliokuibia washajua udhaifu wako, na wanaweza kurudi.
 
Ni noma sana hii kazi ina hela sana basi tu yashatokea
Mzee I feel you, same business naifanya pia. Means ukitaka fremu isifungwe uendelee na biashara unahitaji almost 3 Mil.

Binafsi ni pesa nyingi kwangu so naona ugumu ulio mbele yako.

Pole chief.
 
Pole sana ila jifunze kuweka akiba kama ungekuwa na tuakiba kama laki 5 ungejua pakuanzia na kingine kama unaaminika na watu wa karibu kama baba anafweza au ndugu muombe akukopeshe au akuwekee dhamana kwenye maduka ya ivyo vifaa sikuizi biashara zimekuwa tofauti kidogo unaweza toa pesa ya gemu mbili akakukopesha mbili na TV tatu mkaandikishiana kuwa utakuwa unamlipaje
 
Pole sana au kama vipi na wewe ukiona cha mtu kimekaa vibaya ushahidi hakuna pitia tuu
 
Pole sana mtoa mada!lakini nikiangalia mm na ww nadhan ww una kaunafuu...!
August niliibiwa...october nikapoteza mali ya hela ndefu..jana napigiwa simu nimeibiwa machine!
......!ila jioni ilibidi nilie kidgo ..nikampgia simu maza nalia balaa..am very ok nw!...naamini ntasimama tena!
 
Daah..Ni kweli ila nina kaela kidogo
Pole sana ila jifunze kuweka akiba kama ungekuwa na tuakiba kama laki 5 ungejua pakuanzia na kingine kama unaaminika na watu wa karibu kama baba anafweza au ndugu muombe akukopeshe au akuwekee dhamana kwenye maduka ya ivyo vifaa sikuizi biashara zimekuwa tofauti kidogo unaweza toa pesa ya gemu mbili akakukopesha mbili na TV tatu mkaandikishiana kuwa utakuwa unamlipaje
 
Pole sana hua inauma sana ila hakuna namna itabidi maisha yaendelee

Back
Top Bottom