Nimekuja tena.

PRECIOUSNESS

Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
54
Reaction score
13
Bado nakuja kwenu wadao wenzangu nikiwa bado na tatizo la kupata kazi.ninabahati sana ya kuitwa kwenye interview na nikienda naweza kujibu maswali yote bila kushindwa yaan vile navohisi mm ni sahihi lakin cha kushangaza kazi cpati, hivi ni kwanini jaman? pia nimesikia hizi kaz za partime za collection of data nawezaje kupata hata hizo, kama kuna mtu anaweza kuniunganisha nazo jaman.npo dar with bachelor degree in accounts.
 
mkuu tembelea zoom tanzania, kazi za accountant zipo kibao hata leo. jaribu kuangalia. mia
 
Pia zidisha maombi kwa Mungu wako...
Kuna vifungo vingi tu vya guvu za giza zinazoweza kukufanya usifanikiwe kupata kazi...

Kama wewe ni mkristo unaez enda kwa walokole wakakupa elimu ya ''deliverance''
 
Nakushauri uzidishe maombi hasa wakati wa usiku na kufunga kwa bidii. Nakuhakikishia kuw maombi ni mtaji unaolipa hutapata hasara hata siku moja .
 
Nakushauri uzidishe maombi hasa wakati wa usiku na kufunga kwa bidii. Nakuhakikishia kuw maombi ni mtaji unaolipa hutapata hasara hata siku moja .

ushauri mzuri sana huu! ubarikiwe
 
Asanten wote ndugu zangu naahidi kuufanyia kaz ushaur wen😛ray2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…