Kuna hii tabia ya wakina dada kusema kwamba wanaume tumewachezea pindi tu mapenzi yanapofika mwisho.Kimsingi hii haiko sawa kabisa mana ninavyoamini sote tumechezeana, muda uliopoteza wewe ni sawa na muda niliopoteza mimi pindi tulipokua kwenye mahusiano.
Kama nilikuchezea mbona pesa zangu ulikua unapokea nilipokua nakurushia kwa njia ya simu, kana kwamba haitoshi tulipokua kwenye ulimwengu wa sita kwa sita mbona ulikua unasema "tamuuuuu".Dada zetu sio kila mahusiano lazima yaishie kwenye ndoa, nyingine ni tuition tu za kukuimalisha ili pindi utakapoingia kwenye ndoa uwe strong kuhimili mikikimikiki ya ndoa yako.
Muache tabia ya kulalamika kwamba mmechezewa na kupotezewa muda wakati sote kila mmoja kwa wakati wake alipoteza muda wake katika hayo mahusiano.
Natumai dada zangu mmenielewa kwa haya machache