Nimekubali Magufuli ni intelligent man!

nina waswas sana na uwezo wa watanzania katika kufikiri. hivi kipya kigeni alichofanya mh. rais? tuwe na subira tuone matokeo chanya baada ya ziara hizi...
 
Haijalishi anaongozwa na nani, Wananchi tuna macho na tunaona, tunamjua Magufuli tangu akiwa Waziri, kila Wizara aliyopelekwa aling'ara kwa ufanisi wa kazi hivyo hata kwenye uraisi pia haiwezi kuwa tofauti na ndio maana wengi wetu tukamchagua!

Baada ya kutembea hapo Muhimbili amebadilisha nini?
 
Yaani Magufuli amekaa serikalini miaka 20 hajui matatizo ya hospitali zetu? Mbona yapo wazi kila mtu anayajua hata mtoto mdogo? Nadhani huu sio muda wa Maigizo ni muda wa kuwa serious,!
 

kwa hiyo agha khan atibiwe nani.vp hospital zenu za india.
 
umeleta hoja nzuri sana ila kitendo cha kumshambulia mbowe , ni sawa na kutia chumvi kwenye chai
jifunze kumutetea rais wako vizuri kwani mda wa maneno hayo umekwisha. Kumbuka hata mbowe ameanza kumpongeza mangufuli sasa wewe unakuwa kuwa mjinga
 

Mkuu bora anavyoenda mwenyewe anapata ukweli halisi kwa jinsi wabongo tulivyo akiunda hiyo tume ya unaowaita watalamu watageuza kitengo cha kupiga hela tu mwisho wa siku ushauri unatolewa mbovu. Mfano tu kama wewe ni muajiriwa wa serikali angalia wakaguzi wanavopiga hela na makosa yanaendelea.
 
Ni kwa nini usimfananishe Kikwete na Mangufuli??
 
Yaani Magufuli amekaa serikalini miaka 20 hajui matatizo ya hospitali zetu? Mbona yapo wazi kila mtu anayajua hata mtoto mdogo? Nadhani huu sio muda wa Maigizo ni muda wa kuwa serious,!

Hivi haya maneno ya kiingereza mnayaelewa lkn maana yake au mnayatumia tu? Sasa ulitakaje? Bodi nzima ya Hospitali ya Muhimbili pmj na Mkurugenzi Mkuu wamefutwa kwa uzembe na itateuliwa bodi mpya na hii ni ndani ya wiki moja ya uraisi wa Magufuli kuna userious zaidi ya huwo Dunia hii?

Muhimbili kuna kero kubwa sana wagonjwa wanatoka Songea au sijui Manyara kuja kufanyiwa uchunguzi wanaambiwa mshine zimeharibika kwa miezi 2 halafu wanaandikiwa na madaktari waende binafsi jioni wanawakuta madaktari wale wale kwenye hosp. binafsi sasa ulitaka Raisi wa nchi afanye nini ktk hali kama hiyo? Ulitaka aunde tume ya kuchunguza miezi 6 atoe ripoti apeleke Bungeni halafu asubiri Bunge la Bajeti lipite mwakani ndiyo atoe uamuzi?

 
Hapa kazi tu mungu yuko na wewe magufuli chapa kazi tu.
 
Yaani Magufuli amekaa serikalini miaka 20 hajui matatizo ya hospitali zetu? Mbona yapo wazi kila mtu anayajua hata mtoto mdogo? Nadhani huu sio muda wa Maigizo ni muda wa kuwa serious,!

Jamani sisi wote ni watanzania na wengi tuko upinzani ila kwahili analofanya rais kwa sasa ni la kumtia moyo asikate tamaa tusiwe tunapinga kila jambo anachofanya magufuri sa ivi ni kuonesha uozo wao akiwa anashuhudia kama rais. Mfano jifikirie wewe mkeo akikwambia unamsaliti kwa mwanamke mwingine na akikufunia upo kifuani kwa mwanamke mwingine ipi inakupa aibu? Let's build our national together pale atakapotoa boko tumsahihishe akifanya vema tumsifie.
 

Wew jamaaa malofaa wakikukutaa mie ntakuwa nmelala kwa hayo matusi utakayopokea kutoka kwa wanywa vilobaa
 
Mimi mwenzenu nishaanza kubadilika raisi "wenu"naanza kumwona rais wangu nasubiri next move yake nianze kumuunga mkono mpaka 2020 kucheki upepo wa rais"wangu"
 

mkuuu na wewe unafaa kuwa mtabiri. au ulikuwa umeshajua kuwa bodi imefutwa na mkurugenzi amenyongwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…