Jamani mimi ninarafiki yangu ambaye nilikutana nae sehemu fulani ya kupatia lunch na breakfast. Sasa tumeenda basi akaanza kuonyesha uanaume wake si akaniibukia oooh nakupenda.
But mimi ilo wazo wala halikuwepo kabisa coz nilijua ananizingua tu, sasa siku zinavozidi kwenda nae kasi inazidi. Mh nkajishauri moyoni may be ananipenda kweli si nikaanza kulegeza kamba nami nkaanza kumpenda.
Sasa nilichokuja kuroga ni iki, in short sipendi masiara coz najitambua vizuri sana kuwa mimi ni binti na nataka baadae nisijejuta kuwa kwa nini nilichezea usichana wangu.
Basi siku zikazidi kusoma nami nkamtega kwa kumuuliza unanipenda kweli na akajibu mimi nakupenda nikamjibu asanteh, swali jingine vipi familia haijambo majibu sasa sina familia, mara haijambo nikajisemea iyo moja, nikauliza tena nkajibiwa mama na mtoto walifaliki, sichoki tu, siku moja katika maongezi (kuchat) akanichokoza kwa kuniuliza penzi utanipa lini?
Mie nikamjibu wewe unataka lini? Itaendelea dolegumba linauma!
Hap chenga bi dada!Jamani mimi ninarafiki yangu ambaye nilikutana nae sehemu fulani ya kupatia lunch na breakfast. Sasa tumeenda basi akaanza kuonyesha uanaume wake si akaniibukia oooh nakupenda.
But mimi ilo wazo wala halikuwepo kabisa coz nilijua ananizingua tu, sasa siku zinavozidi kwenda nae kasi inazidi. Mh nkajishauri moyoni may be ananipenda kweli si nikaanza kulegeza kamba nami nkaanza kumpenda.
Sasa nilichokuja kuroga ni iki, in short sipendi masiara coz najitambua vizuri sana kuwa mimi ni binti na nataka baadae nisijejuta kuwa kwa nini nilichezea usichana wangu.
Basi siku zikazidi kusoma nami nkamtega kwa kumuuliza unanipenda kweli na akajibu mimi nakupenda nikamjibu asanteh, swali jingine vipi familia haijambo majibu sasa sina familia, mara haijambo nikajisemea iyo moja, nikauliza tena nkajibiwa mama na mtoto walifaliki, sichoki tu, siku moja katika maongezi (kuchat) akanichokoza kwa kuniuliza penzi utanipa lini?
Mie nikamjibu wewe unataka lini? Itaendelea dolegumba linauma!
Naww c unanifanyia mm hivyohivyo nkikwambia lets gt serious unaringaaaa
Hivi usichana unaosemwa hapa ni upi wadau??????
Usichana mi najua ni bikra ambayo wewe ulishaipoteza tena tangu ukiwa 13.
Find other words to tell us ur story.
ahahaaaa muda bado vumilia tena uwe mpole
Mapenzi gani hayo sasa?
nivumilie na wakat naona mambo mazuri mbele yng
Ok tunaendelea....PART 2:
....nikamwambia kwani wewe unataka lini. Akashangaa. Alidhani nimekubali kirahisi sana. In short akawa surprised.
Akaanza kujichekesha, akadai niache masihara eti anaipenda kweli.
Nikamwambia ni kweli sikutanii.
Jamaa akahisi labda kuna kamchezo nataka kumchezea. Akasema mimi ndio nipendekeze siku, mahala na wakati.
Nikamwambia "kwako tu", tukaagana.
Mpaka leo sijawahi kukutana nae tena kwenye lunch wala breakfast. Nikiulizia, naambiwa huwa anakuja kimachale machale, nadhani ananikwepa.
Swali, Huyu mtu ni kweli ananipenda? Nimkubalie?
Teheeeee
hujui kuwa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote