Akikujibu nishituee mkuu....!?Wewe unaonaje zali au ?
Itakua zali kama unajitambua, itakua majuto kama hujitambui.ni muda na muda Ila mda mwingi naona Kama ni zali.
Una kitu tunaita inferiority complex, unajiona duni mbele yake kwa sababu amekuzid umri na uwezo kifedha. Wengi wetu, wanaume, hukosa ujasiri mbele ya mwanamke wa aina hiyo. Sababu kubwa ni tamanio la kimaumbile lililowekwa ndani yetu kumuongoza mwanamke na tunafikiri ili kuweza kufanya hivyo lazima uwe na pesa kumzidi na umri mkubwa kuliko yeye.Natumamini ni wazima wa afya na poleni na majukumu. Niingie kwenye mada. Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha na kazi binafsi Ila bado kipato changu sio kikubwa. Miezi michache iliopita nilifanikiwa kuwa na mahusiano na binti mrembo na muonekano wake ni Kama ana miaka 20 hivi. Nlimueleza ya moyoni akanielewa saivi tupo kwenye mahusiano. sikujua kumbe binti ana kazi nzuri ameajiriwa kaka yake na kipato kikubwa tu anapata. Miaka yake ni 26 Ila kimuonekano ni mdogo, juzi kanambia tuende mahali kumbe ni kununua materials ya kupeleka site, kumbe ana eneo na nyumba msingi umeanza. Tukienda mahali hata pesa za manunuz ananikabidhi na akiwa busy ananiomba nikasimamie mafundi. Nashindwa kuwa na ujasiri wa kuchangia ujenzi naomba ushauri alafu pia wakuu hili ni zali au nikimbie tu nimuache na projects zake.
lack of confidence among wanaume ni gonjea kubwa sana.Natumamini ni wazima wa afya na poleni na majukumu. Niingie kwenye mada. Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha na kazi binafsi Ila bado kipato changu sio kikubwa. Miezi michache iliopita nilifanikiwa kuwa na mahusiano na binti mrembo na muonekano wake ni Kama ana miaka 20 hivi. Nlimueleza ya moyoni akanielewa saivi tupo kwenye mahusiano. sikujua kumbe binti ana kazi nzuri ameajiriwa kaka yake na kipato kikubwa tu anapata. Miaka yake ni 26 Ila kimuonekano ni mdogo, juzi kanambia tuende mahali kumbe ni kununua materials ya kupeleka site, kumbe ana eneo na nyumba msingi umeanza. Tukienda mahali hata pesa za manunuz ananikabidhi na akiwa busy ananiomba nikasimamie mafundi. Nashindwa kuwa na ujasiri wa kuchangia ujenzi naomba ushauri alafu pia wakuu hili ni zali au nikimbie tu nimuache na projects zake.
Pia akumbuke huyo ni mpenzi wake tu sio Mkewe.Changia ujenzi saidia kazi hayo ndo mapenzi, ila pambana ujenge yako pia cha mwanamke ni cha mwanamke na ulichompa mwanamke si chako ni chake
Wacha kulia, achana naye, nitakuunganishia kwa Kajala au mwanaye....naomba contacts zake tafadhali.Natumamini ni wazima wa afya na poleni na majukumu. Niingie kwenye mada. Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha
Yaan hapa ndo mnamtia uoga mtoa mada,,me naona iko sawa kama demu anampenda yeye aendelee tu,tena kama ingekuwa mm naandaa na mabegi ya kuhamia kwa demu akimaliza ujenzi[emoji23]..Yaan hapo yeye aanze kujijenga mwenyewe pembeni ikiwezekana na ka ujenzi pembeni taratibu bila demu kujua,,siku pakinuka basi taratibu anajongea kwake,huwezi jua inawezekana demu akawa funguo kwa jamaa kutoboa kirahisi!Mkuu una malengo naye? kama ndiyo, basi akimaliza mkakaa hapo usiishi hiyo nyumba kwa muda mrefu mkuu, jipange mkioana mkaishi ulipojenga wewe hata kama ni nyumba ya mabati, usikae sana hapo kwake pakiisha, nimekukanya
Sawaa mkuu nmekuelewa ila sasa yeye anakasi sana ya kaz mimi inawezekana hata kwa week cement nisinunue Ila kazi ya kusafisha uwanja na kupanda miti napiga mbayaChangia ujenzi saidia kazi hayo ndo mapenzi, ila pambana ujenge yako pia cha mwanamke ni cha mwanamke na ulichompa mwanamke si chako ni chake