Nimekosa lakufanya

Wote watatu wanataka kumrudia? Ana mgodi wa dhahabu?? lol
Aliwaacha au walimuacha?? Either way mahusiano si undugu,zinavunjika ndoa itakuwa mahusiano yasiyo rasmi!!
Wachukulieni RB kama wanajifanya wana mahaba niue wote!!
Nanyi mfunge ndoa sasa,miaka mitatu mnaibana tu!!!!
 
ni muda wa kushirikisha wazazi wake.....msimamo wake utaonekana wazi na vijana hao wote wawepo....
 
ni muda wa kushirikisha wazazi wake.....msimamo wake utaonekana wazi na vijana hao wote wawepo....

Huu ushauri wako ni sawa na nguvu za giza!! Ukitaka ukitaka udharaulike huko kwa wazazi wake fuata huo ushauri.
 
..hapa tu "Nimeongea na hao wanaume lkn hawanielewi" ndo sijakuelewa umesema?.
 
Huu ushauri wako ni sawa na nguvu za giza!! Ukitaka ukitaka udharaulike huko kwa wazazi wake fuata huo ushauri.

ukikurupuka kusoma lazima uamini hivyo...sasa subiri nikumezeshe maana hata kutafuniwa huelewi..mwanamke awashirikishe wazazi wake kuhusu kusumbuliwa na hao vijana wa3..sasa nguvu za giza ziko wapi???
 
Mr Fletcher. Kuna sehemu tatu za kuzima UPUUZI huo: Kanisani au Msikitini au Bomani.
Kama hujaling'amua hilo waachie wenzio wafanye kweli. Longolongo mitandaoni ni kupoteza muda.
WAJIBIKA KWA MTOTO WA WATU.
 
weweeeeeeeeh!!!!!!!!!!!
 

Attachments

  • Come N Take.jpg
    124.4 KB · Views: 61
Sina tabia ya kuhangaika na ma-X. Wa mwanamke wangu alienda mpaka kwa baba paroko kushitaki, lakini me sikumwambia kitu. Me naangaika na wangu tu
 

hahahahaha Ennie umeniacha hoi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…