Nimekosa amani kwa uyu mwanamke.

Nimekosa amani kwa uyu mwanamke.

Toka jmatatu hajanitumia txt wala kunipigia cm mim kidume ndo nilikua nampigia lakn cm inakua bize akipokea ata ikiwa saa 2 usiku anasema anataka kulala jana usiku nmempigia hajapokea cha kushangaza leo idd et ndo ameanza yy kunitext nahis anataka kunipiga kiboom

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae kunguni tu mmoja huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri:
Usimjibu leo,, Wacha tu siku ipite
 
ww mjibu akiomba pesa mpe kama unayo hapo ndio Moyo wako uliponasa.
Maana kama ndio Mimi huo usumbufu wa wiki siwez kuendelea na natoaga risala mapema kabla hatujaanza mahusiano na nashukuru wanaelewa
 
Kama ww umepitiliza miaka 25 na bado hujamtambua mwanamke....pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom