Nimekoma kutongoza kwenye daladala

Zemanga zoze

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
990
1,636
habari zenu .... huu mkasa umenikuta Jana nlipotoka town ambapo nilikuwa na mshikaji wangu tunatandika masanga tuliangusha bapa au lusekelo kubwa tatu mpaka mida ya SAA tano kasoro tukaagana mzee nikadumbukia kwenye dala dala niko bwii "akya mungu sion mbele "narudi zangu home .......nikakaa siti ya katikati mwishoni kulia alikaa jamaa ambae sikuangaika hata kumsalimia kushoto alikaa mrembo mzuri ndiye niliyemsalimia na kuanza kumtongoza mwisho akanipa namba halafu akanitambulisha kwa yule jamaa aliyekaa kulia kwamba ndo bwanaake jamaa akaniangalia afu akatabasamu kumbe alikuwa ana nichora tuu duu njemba yenyewe mbavu ki k *** duh nikaona apa leo nimepatikana aisee na jamaa anaonekana hayuko peke yake kuna njemba nyingine kama tatu iv asee nikapiga akili kituon pale naposhuka kuna boda namfahamu nikamvutia waya nikamwambia awaandae wenzake saba niwakute kituoni apo niko na wageni wengi nashukuru ile nafika tuu boda wameshatanda zile njemba zika ogopa mzee boda kama saba zote na bonga nazo mimi zikaishia kuniangalia zikasepa ......duuh boda walicheka sana na nikawapa buku nne kwa ile kampan nimekoma sirudii tena
 
daah mkuu. Huwa uko active na mambo ya maana
Naweza pata hard time ofisini so nikitoka nikipitia kijiwe nikapiga kvant nayo ni kama bapa tu ila kvant ni nzuri zaidi kwangu kuliko bapa,ujue hard time ya ofisini lazima ipate solution
 
habari zenu .... huu mkasa umenikuta Jana nlipotoka town ambapo nilikuwa na mshikaji wangu tunatandika masanga tuliangusha bapa au lusekelo kubwa tatu mpaka mida ya SAA tano kasoro tukaagana mzee nikadumbukia kwenye dala dala niko bwii "akya mungu sion mbele "narudi zangu home .......nikakaa siti ya katikati mwishoni kulia alikaa jamaa ambae sikuangaika hata kumsalimia kushoto alikaa mrembo mzuri ndiye niliyemsalimia na kuanza kumtongoza mwisho akanipa namba halafu akanitambulisha kwa yule jamaa aliyekaa kulia kwamba ndo bwanaake jamaa akaniangalia afu akatabasamu kumbe alikuwa ana nichora tuu duu njemba yenyewe mbavu ki k *** duh nikaona apa leo nimepatikana aisee na jamaa anaonekana hayuko peke yake kuna njemba nyingine kama tatu iv asee nikapiga akili kituon pale naposhuka kuna boda namfahamu nikamvutia waya nikamwambia awaandae wenzake saba niwakute kituoni apo niko na wageni wengi nashukuru ile nafika tuu boda wameshatanda zile njemba zika ogopa mzee boda kama saba zote na bonga nazo mimi zikaishia kuniangalia zikasepa ......duuh boda walicheka sana na nikawapa buku nne kwa ile kampan nimekoma sirudii tena
Lusekelo tatu kubwa na nyama choma ugali halafu maji makubwa pembeni.
 
Back
Top Bottom