Nimekata tamaa na demokrasia ya vyama vingi!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Huu mfumo hauwezekani hapa nchini kwetu...
Ni ngumu sana kuwepo na demokrasia ya vyama vingi kwa kuwa hakuna uwanja sawa wa kuchezea siasa kwa vyama vyote bila upendeleo...
Nimekata tamaa kabisa... Kwa kuwa hakutakuwa na level playing field katika siasa za nchi zetu hivyo kuifanya demokrasia kuwa mchezo wa kuigiza!
 
Sio kwa kuwa kuna Chama kinafanya vizuri maradufu ya vingine?
 
Ƙwa tanzania vyama vingi ni geresha tu ili ƙuoneƙana tuna ɗemoƙrasia ila uhalisia sivyo
 
Na wanajua wakiweka uwanja sawa wa Demokrasia hawana hoja...

Kiongozi wa CCM hata ukimkusanyia wananchi kwenye mkutano ukamwambia haya hawapa wananchi wahutubie, hana la maana atakalo waambia.

Kuanzia ndani ya bunge mpaka kwenye mikutano ya kisiasa hawana hoja yoyote ya kuwaambia watanzania.

Wamebaki Kutumia polisi, watendaji wa serikali, tume ya uchaguzi na rasilimali za serikali kuwasaidia kushinda kwenye Chaguzi.

Siku zenu za hukumu ya mwisho zinakaribia.
 
Lakiniii ni watanzaniaa wasengeeremaa Ngojaa tuwaachee waisomee nambaaa nahodhaaa mbumbumbu,,, abiliaa mbumbumbuu lazmaa chomboo kiendee mlamaaaa
 
Back
Top Bottom