Nimekamatwa hapa Manga-Mkata kwa kosa nina nakala ya driving licence

Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,310
2,000
Pole sana kwa kukamatwa na traffic police,Tanzania bado sana tunatumia nguvu mno na unyanyasaji usiotakikana,yes kuendesha gari bila driving licence ni kosa ,hapa alitakiwa akuandikia fine na mwisho wa mwezi unakumbana nayo kwenye sanduku lako la posta,hana uwezo wa kukukamata,ila kama gari ina malimbikizo ya faini yes wanauwezo wa kukukamata ila lazima wawe na arresting warrant original,lini nchi yetu itaanza kutembea kama nchi zingine ,why hatuna uwezo wa kutumia technology hasa kwa masuala kama haya?wamekupotezea muda pole sana,na sio sheria kuendesha gari ukiwa na registration papers za gari.poleni ni kuisoma namba.
 

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,350
2,000
ukisoma ile karatasi yenye maelezo ya offence,kosa ni "driving without a valid driving licence" na sio "failure to carry driving licence".
 

sekindunda

JF-Expert Member
Jul 23, 2017
320
250
ukisoma ile karatasi yenye maelezo ya offence,kosa ni "driving without a valid driving licence" na sio "failure to carry driving licence".
Kwa hyo Driving licence ni nn? Kwa mtazamo wako ukikutwa huna driving license utakuwa huna kosa?

Taarifa ya mleta uzi inasema alikuwa na nakala ya d/licence ambayo kama haiko certified na mamlaka husika haina tofauti na karatasi nyingine ya kawaida.

Ili licence iwe valid ni lazima kwanza iwe licence halafu ndo tuangalie validity. Kama ni nakala tu ya kawaida haifai hata kukagua!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom