MZEE si ulikiona kitoto cha uswazi jana pale baa?........Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
Nakutakia mafanikio mema, kwa lugha rahisi ALL ZE BEST.Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
hiyo room lazima ulimchukulia MANZESE-KWA MJAPANI!...safi sana mzee!watoto wa uswazi wanawakimbiza madem-wa-kishua
Shukrani na wewe yule jamaa ako ungempa acheke na nyavu saizi ungekuwa unazungumzia harusi na masendi ofu kabisa na wapwazi tungekuchangia tatizo lako mchoyo.
Vipi? Umetoka vekesheni kimyakimya breki ya kwanza kigogo siyo? Vipi ulijaribu kumdodosa kama ana mdogo wake wa kike? I mean Mambo ya Mila.
MZEE si ulikiona kitoto cha uswazi jana pale baa?........
kimekuja na ndala zake,akaaaaaaaaaaaaa!kile cha manzese-madizini!...
MZEE si ulikiona kitoto cha uswazi jana pale baa?........
kimekuja na ndala zake,akaaaaaaaaaaaaa!kile cha manzese-madizini!...
hii kesi ataijibu KAIZER!mimi unanionea bure mpwaaz!kaizer ana kesi ya kujibu.Alafu wewe! Dah! Jana mlinitendea uovu! Kinyume na haki za binadamu! btw Halima na Matron Fatuma ikawaje tena!
Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
ukimwi???!......ukimwi wanao watoto wa kishuaDuh!!!!!!!!!
Na UKIMWI JE??????
Msimamo mpwa as from today am a single lady, nimempiga kibuti jana after the ushauriz, thanks to you all, kazana tu huko uswazi.Shukrani na wewe yule jamaa ako ungempa acheke na nyavu saizi ungekuwa unazungumzia harusi na masendi ofu kabisa na wapwazi tungekuchangia tatizo lako mchoyo.
hii kesi ataijibu KAIZER!mimi unanionea bure mpwaaz!kaizer ana kesi ya kujibu.
hata hivyo kuna kifaa kinaitwa PRISCA...!kaizer atakupa movie nzima