haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana.utasubiri sana .watu wazima kwanza nguvu hawana ,stress za magu,mara nyumba imebomolewa, mikopo,ndugu wanamtegemea etc yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze .sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo .
sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda,ila mungu anawaona aisee. ila wafanyeje?
kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.hata mtume nasikia aliolewa na mwanammke wa miaka 60 wakati ana miaka 18. sembuse mimi bado mbichi kabisa dogo anakuta flavour yote ya utamu aaagh!
siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia