nimejoin na mimi

Yaani na ufanye haraka sana kulipa, otherwise natuma polisi.................sababu ya kupoteza macho ni kwa sababu nakudai........🙂
khaaaa! yaani majuzi tu nilikosea nikamwita waifu wa jirani Keren Happuch (kupenda kubaya wajameni), nashkuru alinielewa baada ya kumpa maelezo kidogo. Infakti alisema una bahati sana kwa kunitia uchizi mpaka nikawa sijielewi
 
Hahahahah.............sasa hapa ndo unaanzisha kesi nyingine........ulikuwa na huyo wife wa jirani yako...mpaka mkaanza kupeana jina langu???!!!!.....NIMENUNA
 
Usnune honey! hela ya make up za kukunjulia ngozi za uso sina aisee, nimefulia. Waifu wa jirani ni mke wa mtumishi wa Mungu, wala usihofu, jana tu alitoa mapepo wanne wa jinsia tofauti.
 
heheheheh...eti mtumishi wa mungu...hebu angalia haya maneno hapo kwenye red...................mhhhh!!!!

daah kumbe nilikaribishwa hv hata sijawai kuona hii thread ngoja niipitie vizuri?
Unajua jana wakati napiga mswaki, nikagundua nafsi inanisuta sana aisee kwanini skumkaribisha bebii.
Karib sana bana!
neksti time wala usichangie, wewe ni natural born premium member bana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…