W Wangu Member Jan 28, 2011 14 0 Feb 11, 2011 #1 Wapendwa, naomba mnipokee, nimejiunga katika nyanja hii.
AK-47 JF-Expert Member Nov 12, 2009 1,373 199 Feb 11, 2011 #4 Umefanya uamuzi wa busara karibu jamvini
G Gurti JF-Expert Member Nov 19, 2010 211 59 Feb 11, 2011 #7 wewe ni dada au kaka. Ni muhimu kkt mawasiliano. Tusijekuita bwana x kumbe siyo.
B bakarikazinja Senior Member Nov 9, 2009 177 8 Feb 12, 2011 #8 Mmmh nilichelewa umefika saangapi karibu nadhani wenyeji umewakuta za utokako?