Nimejiunga siku ambayo JF imefungiwa

Melo, njoo inbox huyu anatuchora(mwandiko na sura sio ngeni) namjua naye jana alikuwepo kwenye lile kundi na leo ndio kabonyeza batani ya OFF
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila umeshajiandikia historia yako ya jf
 
Watu bila wasikitike ndo kwanza vituko vinaongezeka ndo kusema TCRA bado hawajatukomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…