Nimejiridhisha, hata kama una mavyeti kama mlima, bila magumashi hutoboi maisha

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wanabodi.

Si wanasiasa , si wafanyabiashara , si wafanyakazi kwenye sekta za umma na binafsi , karibu wote wametoboa kwa magumashi ; rushwa , zengwe , uchawi , kujuana / kufahamiana , mazindiko , makafara , figisu za hapa na pale...

Nafasi nyingi za juu wengi wamechanjwa chale makalioni.. wengi wamepoteza ndugu wa damu.

Mwenzangu na mimi "Bwana Asifiwe ...milele amina " tutasubiri sana mpaka vyeti vitaliwa na mchwa. Asilimia ndogo sana wanatoboa.

Watu wana hirizi makalioni ama kwenye makoti yao na huko maofisini ndo usiseme kuna mafataki ya kila aina. Ulinzi kila mahali.
 
Nasikia kuna viti huko maofisini kwenu havikaliwi ovyo! Kweli ule msemo wa "penye udini mwingi, ushetani mwingi upo poa"!!
 
Mbinu mbili za kupata mafanikio katika huu ulimwengu;

1. Kuwa mtu mbaya sana, katili na roho mbaya. Kuwa mfuasi wa shetani kindaki ndaki.

2. Kuwa Mwema sana, mwenye huruma, Roho nzuri. Kuwa mfuasi wa Mungu kindaki ndaki.

Ukiwa katikati baina ya hizo pande. Nakuhakikishia hutatoboa maisha yako yote.

Masikini wapo kundi la watu wanafiki. Kwa shetani hawapo na kwa Mungu hawapo.

Ndio maana mimi siwapendi Masikini kwa tabia zao za unafiki.
 
We jamaa una roho mbayaa

Huo ndio ukweli. Ukiwaendekeza masikini utakuwa masikini.

Masikini akikujia kutaka msaada mfanye yeye ndio ngazi yako. Mpe msaada kidogo alafu kupitia msaada uliompa mpige mara mia yake. Hapo ndipo utajiri unapopatikana.

Hiyo inatumika pote duniani. Iwe kanisani au kwa waganga. Iwe ni nchi masikini zikiomba msaada nchi tajiri. Mnapewa chandarua na kondomu alafu wenzenu wanataka Mgodi.

Masikini anastahili Utapeli na kudhulumiwa ili akili zimkae sawa.

Masikini wanapenda kujiliza jila kifala fala sana. Yaani umasikini wake linaona wenye pesa ndio wamelisababishia.

Ukiwakuta masikini wanavyojadili mambo yao ndio utacheka mpaka utakufa. Wanamisemo yao mara bora umasikini unaamani kuliko utajiri wenye kukosa amani.

Wewe hujala chakula utakuwa na amani kama sio wendawazimu. Hujaoga siku mbili kisa huna sabuni unanuka kama beberu bado uwe na amani. Unadharaulika bado uwe na amani.

pumbavu
 
Wanabodi.

Si wanasiasa , si wafanyabiashara , si wafanyakazi kwenye sekta za umma na binafsi , karibu wote wametoboa kwa magumashi ; rushwa , zengwe , uchawi , kujuana / kufahamiana , mazindiko , makafara , figisu za hapa na pale...

Nafasi nyingi za juu wengi wamechanjwa chale makalioni.. wengi wamepoteza ndugu wa damu.

Mwenzangu na mimi "Bwana Asifiwe ...milele amina " tutasubiri sana mpaka vyeti vitaliwa na mchwa. Asilimia ndogo sana wanatoboa.

Watu wana hirizi makalioni ama kwenye makoti yao na huko maofisini ndo usiseme kuna mafataki ya kila aina. Ulinzi kila mahali.
Kabisa kiongozi bila figisu hautoboi,lazima ufanye mafekeche.
 
We jamaa umetofautia Kodogo sana na Trump
Huo ndio ukweli. Ukiwaendekeza masikini utakuwa masikini.

Masikini akikujia kutaka msaada mfanye yeye ndio ngazi yako. Mpe msaada kidogo alafu kupitia msaada uliompa mpige mara mia yake. Hapo ndipo utajiri unapopatikana.

Hiyo inatumika pote duniani. Iwe kanisani au kwa waganga. Iwe ni nchi masikini zikiomba msaada nchi tajiri. Mnapewa chandarua na kondomu alafu wenzenu wanataka Mgodi.

Masikini anastahili Utapeli na kudhulumiwa ili akili zimkae sawa.

Masikini wanapenda kujiliza jila kifala fala sana. Yaani umasikini wake linaona wenye pesa ndio wamelisababishia.

Ukiwakuta masikini wanavyojadili mambo yao ndio utacheka mpaka utakufa. Wanamisemo yao mara bora umasikini unaamani kuliko utajiri wenye kukosa amani.

Wewe hujala chakula utakuwa na amani kama sio wendawazimu. Hujaoga siku mbili kisa huna sabuni unanuka kama beberu bado uwe na amani. Unadharaulika bado uwe na amani.

pumbavu
 
Umenena, anaepinga ana lake jambo. Ulimwengu ndivyo ulivyo. Bwana asifiwe kwa wingi ila bonge la hurizi mfukoni
 
Mbinu mbili za kupata mafanikio katika huu ulimwengu;

1. Kuwa mtu mbaya sana, katili na roho mbaya. Kuwa mfuasi wa shetani kindaki ndaki.

2. Kuwa Mwema sana, mwenye huruma, Roho nzuri. Kuwa mfuasi wa Mungu kindaki ndaki.

Ukiwa katikati baina ya hizo pande. Nakuhakikishia hutatoboa maisha yako yote.

Masikini wapo kundi la watu wanafiki. Kwa shetani hawapo na kwa Mungu hawapo.

Ndio maana mimi siwapendi Masikini kwa tabia zao za unafiki.
Absolutely right.!!
 
Back
Top Bottom