Nimejikuta Bima (NIC) na CWT wanakata mshahara wangu

le prof2

New Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Habarini wana jamvi.. Nduguzani naombeni mawazo ya nini cha kufanya kwani najikuta katika lundo la makato bila sababu za msingi.
Kimsingi hivi karibuni nimekuta nakatwa hela tu bila hata kujua taratibu zinazoendelea.
Hawa CWT na NIC sikuwahi kuomba kujiunga nao ila tu walishawahi kututembelea ofisini kwetu siku moja wakaongoengea pale lkn hakuna alieonesha interest nao Bandae wakasepa sasa mwaka huu mwezi wa 3 wameanza kunikata (Nic policy) tsh. 5468/

Leo nimepata salaryslip ya mwezi wa 8 nimekuta tena CWT Wameanza kunikata wakati tulipoanza ajira tuliambiwa wanaohitaji wakajaze fomu mimi sikuwahi kujaza na hata ofisi zao sizijui...

Kiukweli imenikatisha sana tamaa kwa sababu sijui nini chakufanya.
 
Anzia hr ofisini.kwenu

Kuna mtu kashapiga 10% yake katulia nini???
 
Nijuavyo kama wew ni mwalimu suala la kukatwa na CWT ni lazima, kila mwalimu analazimishwa kuchangia utake usitake.

Jitahidi oct 25 kulikumbuka hilo.
 
Tye tye tye! Ukiwa mwl makato yote yatakuhusu! Haadi mweeenge!! Walah ngooja niungane na walimu wa kenya kwa sasa!! Oct 25 hadi kielewekeee!
 
daaaah mwakani kutakua na chochote kitakachofanyika? nadhani watatumia muda huo kujipanga kuongoza na pia kurudisha hela walizozitumia kwenye kampeni......hawataacha kukukata sababu pia tayari upo kwny system ya makato hayo.......
 
Habarini wana jamvi.. Nduguzani naombeni mawazo ya nini cha kufanya kwani najikuta katika lundo la makato bila sababu za msingi.
Kimsingi hivi karibuni nimekuta nakatwa hela tu bila hata kujua taratibu zinazoendelea.
Hawa CWT na NIC sikuwahi kuomba kujiunga nao ila tu walishawahi kututembelea ofisini kwetu siku moja wakaongoengea pale lkn hakuna alieonesha interest nao Bandae wakasepa sasa mwaka huu mwezi wa 3 wameanza kunikata (Nic policy) tsh. 5468/

Leo nimepata salaryslip ya mwezi wa 8 nimekuta tena CWT Wameanza kunikata wakati tulipoanza ajira tuliambiwa wanaohitaji wakajaze fomu mimi sikuwahi kujaza na hata ofisi zao sizijui...

Kiukweli imenikatisha sana tamaa kwa sababu sijui nini chakufanya.

Unaniangusha bana!
Hujui cha kufanya kweli? Usiwemvivu kiasi hicho soma miongozo ya sehemu yako ya Kazi kuhusiana na kujiunga na hizi taasisi-kama ni hiari au ni lazima kwa mujibu wa ajira yako/Mkataba.
 
Back
Top Bottom