Nimejifunza kitu kuhusu Sadaka

SADAKA.. SADAKA... SADAKA....

SADAKA imekua chanzo cha ugomvi wa chinichini kati ya waamini wenye imani dhaifu na viongozi wa kanisa.

Pia sisi wengine ambao hatufahamu maana ya sadaka, tujitahidi tu kutofautisha kutoa kwa wema (matendo mema) na utoaji wa sadaka.. Unaweza ukamkuta masikini ukampa Tsh 10k ukahisi kuwa umetoa sadaka kumbe umemsaidia tu muhitaji.

Kiufupi (kwasababu sadaka ni somo pana), sadaka ni MAELEKEZO YA Mungu mwenyewe juu yako, Unaweza ukaenda na kutoa milioni lakini mbele za Mungu isihesabiwe Kama sadaka yenye Kumpendeza.
 
Hakika siku hiyo ni wewe peke yake aliyetoa sadaka waliobaki waliwapa walaji wakahongee na kutanulia wakati kuna watu wana shida na wanastahili kusaidiwa kama ulivyofanya. Nimependa moyo wako na uumini wako katika utu na si dini hizi za wezi na wakoloni. Ubarikiwe sana mwanangu
 
mkasome vizuri waebrania sura 13 mstari wa 14-17 alafu mkawaulize mnaowapelekea sadaka kuwa wana lionaje ilo andiko
 

Kwa hiyo ni lazima tutoe kanisani ili mungu arushiwe juu mawinguni.. ila wenye shid tunaowaona kwa macho tusiwape sadaka
 
Ubarikiwe mno.
Tunatoa sadaka kwa kuwa tumebarikiwa,tunasaidia wengine kwa kuwa tumebarikiwa,tunapobarikiwa baada ya kutoa huwa ni nyongeza tu kwani hatutoi ili tubarikiwe maana asiyebarikiwa hawezi kumtolea Mungu.
 
Kwa hiyo ni lazima tutoe kanisani ili mungu arushiwe juu mawinguni.. ila wenye shid tunaowaona kwa macho tusiwape sadaka
Wapi nimesema ni lazima tutoe kanisani?

Wapi nimesema tunaowaona kwa macho tusiwape sadaka?

J Unafeli..

Nimesema hivi.
1.Sadaka kimekuwa chanzo cha ugomvi kati ya waamini wenye imani dhaifu na viongozi wa kanisa.
2.Tujitahidi kutofautisha kutoa kwa wema (matendo mema) na sadaka.
3.Sadaka ni maelekezo

Ilitakiwa Kama hujaelewa uniulize, lakini sio kujitafsiria kitu wakati hujaelewa..
 
Amina!
 
True kwenye mama mchoma mahindi kumuachia elf 5 hapa umemsaidia ni sadaka tosha.
Maana Hakuna mwanamke ambae hana mtoto au familia akahangaika kuuza mihogo,vitumbua,uji,mboga,mahindi nk.
Kuanzia leo nikitoa elf 10 kununua mahindi sidai chenji hio chenji inaenda saidia vijomba huko nyumbani
 
Mkuu Mimi Mungu akinijalia ntakuja kusomesha mmoja wa watoto wa mitaani, Najua sitopungukiwa kitu kwa kufanya hivo, maana sijui wanangu watakuja kusaidiwa na nani nikiwa sipo
Maajabu ya shetani ukiwa na ndoto au dhamira ya kuja kuwasaidia watu upati huo utajiri.
Unapata za kula tu.
Hata Mimi natamani Sana kubadili Jamii lkn KILA nikipambana kutoka nafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…