July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Wakuu habari zenu. Sitochoka kuomba msaada maana hata omba omba huwa unamkuta pale pale ulipomwacha jana. Na kama akihama basi ujue anatafta green pastures. Kuweka mikwala pembeni ni kwamba nilitumia cmd kurudisha mafaili yaliyopotea katika external HDD na nikafanikiwa ila tatizo ni kwamba kila nikiwasha pc kwa startup inatokea hv kwa screen kwamba exception unknown software exception (0x400000015)occured in the application at location 0x00e30e5d. Click on ok to terminate the program. Alfu kwa pembeni kuna notepad. Nimeshindwa weka shots