Nimejaribu kuwa uliza Bodi ya Mikopo, na hili ndilo jibu lao

Stevenbee

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
365
449
Naombeni kufahamishwa Account yangu inaniandikia YOU ARE NOT ALLOCATED LOAN IN A YEAR OF 2016/2017 AT FIRST BANCH

Je hii ni kwamba nimekosa kabisa au kuna matumaini ya kupata mkopo hapa???je utaratibu wa banch 1..2...3....utakuepo? mnijuze kabla sijafanya maamuzi hapa chuo tafadhari sana.

Jana saa 01:40 mchana/ jioni

Bodi ya Mikopo
Kuna batch zimeendelea kutolewa hadi juzi juma tano na majina haya yanatumwa mojakwamoja vyuoni hatujayaweka kwenye mtandao
Leo saa 08:06 Asubuhi · Imetumwa kutoka kwenye Wavuti
 
Na vyuoni hawayaweki kwenye mtandao ili watanzania katika ujumla wao wayafanyie tathamini. Ni batch ya kwanza ya SUA tu ndio iliwekwa mtandaoni! Huu usiri wa ghafla una nini nyuma yake? Kwa nini bodi wasiweke mtandaoni na mchanganuo wake kwa kila kipengele kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma? Au ndio hofu ya majina ya wakubwa kuonekana hadharani?
 
Mfano mim kwa majina ya mwanzo jina langu kat ya yaliyobandikwa chuon na langu lilikuwepo sasa kuna mengine yalotoka juz kiujumla na langu halimo hata sahv kwny ac inaandika not alctd na wakat mwanzo ilikuwa loan break down
 
Naombeni kufahamishwa Account yangu inaniandikia YOU ARE NOT ALLOCATED LOAN IN A YEAR OF 2016/2017 AT FIRST BANCH

Je hii ni kwamba nimekosa kabisa au kuna matumaini ya kupata mkopo hapa???je utaratibu wa banch 1..2...3....utakuepo? mnijuze kabla sijafanya maamuzi hapa chuo tafadhari sana.

Jana saa 01:40 mchana/ jioni

Bodi ya Mikopo
Kuna batch zimeendelea kutolewa hadi juzi juma tano na majina haya yanatumwa mojakwamoja vyuoni hatujayaweka kwenye mtandao
Leo saa 08:06 Asubuhi · Imetumwa kutoka kwenye Wavuti
Duuuh Kama unanipa moyo iv
 
Iv jaman kuna mwenye list ya majina kwa waliochaguliwa chuo kikuu cha Iringa.
Kama ipo Tafadhali iweke hapa maana nahis kufa kufa iv iv
 
Naombeni kufahamishwa Account yangu inaniandikia YOU ARE NOT ALLOCATED LOAN IN A YEAR OF 2016/2017 AT FIRST BANCH

Je hii ni kwamba nimekosa kabisa au kuna matumaini ya kupata mkopo hapa???je utaratibu wa banch 1..2...3....utakuepo? mnijuze kabla sijafanya maamuzi hapa chuo tafadhari sana.

Jana saa 01:40 mchana/ jioni

Bodi ya Mikopo
Kuna batch zimeendelea kutolewa hadi juzi juma tano na majina haya yanatumwa mojakwamoja vyuoni hatujayaweka kwenye mtandao
Leo saa 08:06 Asubuhi · Imetumwa kutoka kwenye Wavuti

omba huku Full Tuition + Allowance Undergraduate Scholarships, Korea Advanced Institute of Science and Technology (KAIST), South Korea
 
Back
Top Bottom