Nimeitwa usaili Ajira Portal - ICT Officer (System Administrator) TRC

Mkuu embu nipe hints za kada ya HR kidogo kwa TRC
 
Daa kwakweli interview ni siku ulivyoamka kama mtihani achilia mbali maandalizi YAKO.wengi wanaijua hiyo KAZI practically but kwenye oral wengi wanaanguka.mifumo ya interview tanzania ni kufeli tu na si vingine
 
ni bahati mzee kikubwa activate mood kupiga paper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…