Nimeitwa kwenye usahili UDOM

NICODE

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
68
Reaction score
10
Jamani naomba msaada wa oral interview za udom mwenye uzoefu zinakuaje. .. position assistant accountant
 
andaaa scientific caluculator na lim moja plus speedo
 
Yaani hizi akili za ki alshababu hizi, kuona oral tu, nikaambanisha na kansa ya koo kama douglas. Kumbe intavyuu ya uso kwa uso? Hongera.
 
Unaenda kufanya lin kwan tulikwishafanya tar 16/17 ya mwez wa 4,nafas hiohio!
 
Wengne pia wamepigiwa,watafanya tar 6,bt hawa udom wanataka nn nafac 10 wanaita 200?
 
Jamani naomba msaada wa oral interview za udom mwenye uzoefu zinakuaje. .. position assistant accountant

Huu wema wa MSHUMAA mimi sina. Yaani nikupe maswali ya oral niliyofanya 17/04 ili wewe uende uyajibu vizuri halafu mimi niachwe wewe uchukuliwe? Dude I'm sorry sina wema huo wa mshumaa wewe nenda kafanye kivyako kama mimi nilivyofanya kivyangu. Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Ahahah kweli kabisa lkn
 

Naona umeielezea vizuri selfish nature ya binadamu inaonekana haujiamini mkuu wewe mpe general idea tu aende kwani wkt unasoma shule ulipitiaga past papers etc etc...kama umepangiwa kupata utapata tu ukimpa maswali mawili utapungukiwa nini ? Maana na uhakika huwezi kumbuka yote
 
UDOM ni zaidi ya tuijuavyo, wanashindwa nn kuwa smart kama UDSM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…