Nimeitwa kwenye Usahili BOT

Nimeitwa kwenye Usahili BOT

seiyegas

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
31
Reaction score
6
Za asubuhi wadau, jana nimepigiwa simu kuwa niende kwenye usaili wa mchujo post Human Resource. Kwa anayejua hua wanalenga wapi hasa katika mchujo anisaidie. Nashukuru sana.
 
Hongera sana mdau!!! nitakuja kukuomba kazi hapo kwenye kiwanda cha kutengeneza hela (BOT)
 
Za asubuhi wadau, jana nimepigiwa simu kuwa niende kwenye usaili wa mchujo post Human Resource. Kwa anayejua hua wanalenga wapi hasa katika mchujo anisaidie. Nashukuru sana.
Unless wewe ni mhaya, vinginevyo I can bet huwezi kufaulu huo usaili hata kidogo! Yaani wewe bila aibu neno Usaili unaandika Usahili, na unategemea kushinda huo usaili kweli? Serious? Kwahiyo wewe nawe una First Class degree? Au ni zile shahada zinazogawiwa ovyo ovyo kama zile za kupigia kura siyo? Pathetic!
 
Nashukuru kwa ushauri wako mdau nadhani wewe upo mkamilifu kila idara ila bila shaka point yangu umeipata hayo mengine ni Baraza la kiswahili lingeshughulikia.
 
Hivi hizi process za kuitwa interview BOT zinafanyikaje. It has not been clear hata kidogo. Tulisikia kuna watu walioitwa kwenye interview kwa posts za bank examiner; today ni human resource. Je zile nyingine teyari? Mfano kuna yeyote aliyeitwa kwa post ya economost? Ambaye ana information atujuze jamani
 
siku hizi jf kama google

umeniangusha mkuu, mpe na picha kabisa huyo, anaacha ku google anakuja JF, sijui ttumsaidiaje, ila cha kumsaidia kuwa wanalenga kwenye viuongo vya uzazi, so asome sana maeneo ayo.
 
Hata wewe mtu wa ndani hapo BOT tunaomba information nini kinaendelea hapo kwenye hizi process za kuita watu kwa ajili ya usahili.
 
Nirifanya usaili hapo miaka 2 iliyopita,upande wa engineering, kwanza huwa kuna usaili wa kuandika,ukipita huo,unakuja usaili wa ana kwa ana( oral ).cha muhimu lazima ujue kazi za benki kuu ni zipi,zipo kama saba hv,hilo swali niriulizwa.

Jaribu pia kujua mambo mbalimbali ya wizara ya fedha.

Jipange vizuri tu,panel huwa inakuwa na watu kama 8,kila mmoja anakuuliza swali moja kutoka kwenye karatasi yake,

kwenye usaili wangu deputy governor alikuwepo

ALL THE BEST MAN
 
Nashukuru sana mdau. Kwa ufafanuzi wako
 
Unless wewe ni mhaya, vinginevyo I can bet huwezi kufaulu huo usaili hata kidogo! Yaani wewe bila aibu neno Usaili unaandika Usahili, na unategemea kushinda huo usaili kweli? Serious? Kwahiyo wewe nawe una First Class degree? Au ni zile shahada zinazogawiwa ovyo ovyo kama zile za kupigia kura siyo? Pathetic!

Hivi kumbe na wewe una hizi mambo?
 
umeniangusha mkuu, mpe na picha kabisa huyo, anaacha ku google anakuja JF, sijui ttumsaidiaje, ila cha kumsaidia kuwa wanalenga kwenye viuongo vya uzazi, so asome sana maeneo ayo.

attachment.php
 
Attachments

  • pture.PNG
    pture.PNG
    5.9 KB · Views: 1,160
Unless wewe ni mhaya, vinginevyo I can bet huwezi kufaulu huo usaili hata kidogo! Yaani wewe bila aibu neno Usaili unaandika Usahili, na unategemea kushinda huo usaili kweli? Serious? Kwahiyo wewe nawe una First Class degree? Au ni zile shahada zinazogawiwa ovyo ovyo kama zile za kupigia kura siyo? Pathetic!

hatukosoi hivyo, this not what we call humanity. MUNGU peke yake ndio amekamilika.. usahili ni kosa dogo sana je angeandika uthanyili?. don't hold it against him. hongera sana wewe mkamilifu
 
Unless wewe ni mhaya, vinginevyo I can bet huwezi kufaulu huo usaili hata kidogo! Yaani wewe bila aibu neno Usaili unaandika Usahili, na unategemea kushinda huo usaili kweli? Serious? Kwahiyo wewe nawe una First Class degree? Au ni zile shahada zinazogawiwa ovyo ovyo kama zile za kupigia kura siyo? Pathetic!

Kitu cha kawaida sana yaweza kuwa typing error tusipende kujiona bora sana katika lugha
 
Back
Top Bottom