Nimeitwa kwenye interview vodacom

U have a point. Thats why nimemwambia angesoma kwanza tangazo.. wanataka mtu wa aina gani.
 
Sijakubishia mkuu. Tunapeana experience tu mkuu
 
Thax mkuu. Maana shortlist imefanyika south africa. Kama ingefanyika hapa bongo sijui kama hata kwenye interview ningeitwa.
Umejuaje ilifanyika South Africa!?
 
Umejuaje ilifanyika South Africa!?
Wamesema kabisa kwenye tangazo kuwa shortlisting will be done in SA. na email ya interview imeto SA cc ma HR wa TZ
 

Acha wivu

Wengi nyie mjiongeze mitandaoni.. kakuambia wapi aliona tangazo.. hata shukurani huna.
 
Watoto wa siku hizi mna matatizo hivi ulichoquote umekielewa kweli? By the way mimi sitafuti kazi jf ni sehemu yangu ya kupumzika na kuona kinachoendelea mtaani. Mwenyewe tumeelewana vzr kabisa..... Walio tanua goli wameleta mafuuriko
Acha wivu

Wengi nyie mjiongeze mitandaoni.. kakuambia wapi aliona tangazo.. hata shukurani huna.
 
😁😁😁 voda wenyewe wapo humu, wanakuchek tu unavyoleta mbwembwe
 
Kazi yako itakua kuandaa report kwa ajili ya mabosi zako wa Zone utakayopelekwa. Ujue sana MS excell na Powerpoint
 

Ushauri wa maana huu sana mkuu.
 
Kwa hiyo nafasi haihitaji mbwembwe hizo. Kikubwa uwe mjuzi wa kuandaa report kuhusu business inayofanywa. Na hapa unakua bega kwa bega na territory managers
 
Yeah. Sio mambo ya IT. ni mambo ya product and market analysis, financial planning, budgeting and forecasting, commerce performance evaluation. Ila sio mbaya katoa ushauri pia


Kaa humu humu ndo issue yenyewe usidanganywe !
 
kwa business analyst excel unapiga vizur tu but ukiwa unajua mambo ya code kama vba,r,python
na tool kama tableau,qlik power bi IBM bi ingekuwa poa. halafu usisahau kujua sql. excel tu itakusumbu koz kuna reporet nyingine kuandaa lazima uwe unajua programming.
excel limits yake iko kwenye amount of data to analyse lets say umepewa data za toka mwaka 1800 mpaka 2019 uzianalyse dah lazima uchemke but all in all kama wenyewe wamehitaji excel but basi poa coz najua mambo ya data science,big data,AI na artificial intellligence bado ni mageni kwa organisation nyingi
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeitwa kwenye interview ya vodacom. Position ya Business Analyst (BA). Mwenye ABC's ya interview za vodacom ya hiyo postion anijuze
anamaana telephone operator
 
Jiandae vizuri, muombe Mungu then nenda kapambane boss..baya masuala sijui ya mtoto wa kigogo achana nayo. Nenda na Mungu, kama ipo basi ipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…