Nimeitwa Kwenye Interview Mwananchi

Nimeitwa Kwenye Interview Mwananchi

city2014

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
36
Reaction score
2
Wadau jana nilipigiwa simu kwa ajili ya kuhudhuria kwenye usaili nafasi ya Assistant Accountant Mwananchi.

Naomben msaada ili kujua na kujiandaa katika usaili na mambo gani nitarajie kuulizwa
 
Hongera make mi mwenyewe nilikuwa nimeomba ila naona bahati haikuwa upande wangu
 
Jamani na hii nimeikosa! Daaah mungu huyu lini interview bw. Mkubwa
 
Back
Top Bottom