Iko hivi ndugu.... Wakati wa usaili wa mahojiano marks hutolewa kwa kila mtu. Wale wote waliopata zaidi ya 50 huchukuliwa mfano, tangazo linataka watu 10 na mliopata zaidi ya 50 ni 20, 10 huchukuliwa then 10 wengine hubaki reserve.
Ikitokea nafasi mpya kama hiyo, hao walioko reserve hupangwa mpaka wakiisha ndo tangazo la nafasi kama hiyo hutangazwa tena...
Hicho ndo kilichotokea kwako ila wewe naona ulikuwa unataka uonekane kwenye mtandao kwamba umepata kazi................