Nimeitwa interview utumishi

Nimeitwa interview utumishi

Joined
Apr 3, 2014
Posts
20
Reaction score
0
Wadau nmeitwa interview utumishi kama afisa maendeleo ya jamii na afisa maendeleo ya vijana kwa aluefanya naomba possible qns kwa oral na written
 
Wadau nmeitwa interview utumishi kama afisa maendeleo ya jamii na afisa maendeleo ya vijana kwa aluefanya naomba possible qns kwa oral na written

Please dada happy we jikumbushie na vitu vya class tu itakusaidia..hope to see u there
😊
 
mh asanten kwa majibu ila iyo comn.dev atachek kwe madesa vp kuh.afisa maendeleo vijana na afisa tarafa hz zipoje masw.yake mana havijulikan wadau
 
we njoo tu, mimi mwenyewe nimeitwa afisa vijana, uwa nina taratibu nikifika kwenye maswali ndio najua majibu yake, maana ni uelewa wa mtu, japo nina makovu ya ajali ntakuja tu, coz ndio interview yangu ya kwanza kwa goverment, nataka nitoke kwenye private sector.
 
Back
Top Bottom